Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI MIKUMI MKOANI MORO

Basi la abiria la kampuni ya Princess Muro likiwa limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro muda mfupi uliopita. BASI la abiria la kampuni ya Princess Muro lililokuwa likitoka Njombe kwenda Dar limepata ajali eneo la Mikumi mkoani Morogoro na kujeruhi watu kadhaa. Katika ajali hiyo, hakuna aliyepoteza maisha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP, KAMA UNA MATUKIO KAMA HAYA, TUTUMIE KUPITIA NAMBA YETU YA WHATSAPP 0753...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZ: BASI LA PRINCESS MURO LAPATA AJALI JIONI HII ENEO LA MIKUMI MKOANI MOROGORO

Baadhi ya abiria waliokuwemo kwenye basi la Princess Muro walilokuwa wakisafiri nalo kutoka Mkoani Mbeya kuja jijini Dar es Salaam wakiwa hawajui la kufanya baada ya Basi hilo kupinduka jini hii katika eneo la Hifadhi ya Wanyama ya Mikumi,Mkoani Morogoro.
TAARIFA KAMILI ITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO

 NEWS UPDATES.:Jumla ya watu. 12 wamepoteza Maisha na 22 wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaam..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...

 

11 years ago

Michuzi

basi la amani lapata ajali maeneo ya salanda mkoani tabora, mtoto mmoja afariki dunia

Basi la Amani Express likitokea Kigoma kuelekea Dar es salaam limepata ajali usku wa kuamkia leo maeneo ya Salanda mkoani Tabora, ambapo mtoto wa miaka mitatu amepoteza maisha na abiria kadhaa wamepata majeraha. Mashuhuda wanahisi kuwa  chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi. Pichani abiria wakitafuta vitu vyao  Abiria wakiendelea kutafuta vitu vyao Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wakisubiri msaada wa usafiri Basi la Amani likiwa limepindukaKikosi kazi cha Michuzi TV kilicho...

 

10 years ago

Vijimambo

BREAKING NEWS: BASI LA SIMIYU LILILOKUWA LINATOKEA MWANZA KWENDA DAR LAPATA AJALI MKOANI DODOMA

Taarifa za mwanzo kutoka mkoani Dodoma zinasema kuwa Basi la Simiyu Expresslimepata ajali eneo la Chalinze - Mbande mkoani Dodoma na zaidi ya Abiria takribani 20 wamefariki dunia usiku huu, huku zaidi ya abiria zaidi ya 40 wamejeruhiwa vibaya baada ya basi la kampuni ya SIMIYU EXPRESS walilokua wakisafiria kutoka Mwanza kwenda Dar es Salaam kupasuka tairi na kuacha njia na kugonga mbuyu na kisha kupinduka.Taarifa zinasema ajali hiyo ni mbaya sana kuwahi kutokea mkoani Dodoma, hadi hivi sasa...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA AJALI YA BASI LA HOOD ILIYOUA MMOJA NA KUJERUHI 27 MKOANI MORO LEO

Wananchi wakilishuhudia basi la Hood baada ya kupinduka eneo la Melela-Mlandizi, Mvomero mkoani Morogoro. Gari hilo baada ya kupinduka.…

 

10 years ago

Habarileo

Basi la Osaka lapata ajali, mmoja ajeruhiwa

David Misime.ABIRIA 57 wa basi la Osaka lililokuwa linatoka Bukoba kwenda Dar es Salaam wamenusurika kifo baada ya basi hilo kugonga tela la lori lililokuwa limeegeshwa kutokana na kuwa bovu na kutumbukia mtaroni.

 

10 years ago

GPL

BASI LA HAPPY NATION LAPATA AJALI MBEYA

Basi la Happy Nation maarufu kama Balotelli mtukutu lenye namba za usajili T 281 ARR likiwa limepata ajali maeneo ya Igurusi, Mbeya.…

 

10 years ago

GPL

BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MSATA

ZAIDI ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani leo.

 

10 years ago

GPL

BASI LA PRINCES MUNAA LAPATA AJALI DODOMA

Gari la Princes Munaa lenye namba za usajili T183 CRW likiwa limepiga mweleka. Muda mfupi uliopita, kumetokea ajali ya Basi la Princes Munaa lililokuwa likitokea Jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza, katika kijiji cha Mtanana Kibaigwa Wilaya ya Kongwa Mkoa wa Dodoma. Hakuna aliepoteza maisha katika ajali hii, watu kadhaa…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani