Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chadema, CUF wavutana Musoma

Vyama vya CUF na Chadema ambavyo ni miongoni mwa vinne vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kila kimoja kimeeleza kitasimamisha mgombea ubunge Musoma Mjini kinyume na makubaliano yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Chadema na CCM wavutana Kalenga

Kalenga. Ikiwa siku zinasogea kwa kasi kwa ajili ya uchaguzi wa kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa mbunge jimboni hapa, Dk William Mgimwa, wagombea wa vyama vikuu pinzani wameendelea na kampeni zao kwa kutumia mbinu zenye mvuto wa aina yake.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali, Tume ya Uchaguzi wavutana

Wakati Serikali ikisema Daftari la Kudumu la Wapigakura litaboreshwa kwa ajili ya kura za maoni ya Katiba Mpya, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema haina mpango huo kwa sababu muda uliobaki ni mfupi.

 

9 years ago

Habarileo

CUF na Chadema Moro wavutana kuachiana majimbo

CHAMA cha Wananchi (CUF) katika wilaya ya Morogoro Vijijini kichama na Kilosa mkoa wa Morogoro, kimejikuta kikiingia kwenye mvutano mkubwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kutokana na kushindwa kuachiana majimbo ya uchaguzi wa ubunge.

 

11 years ago

Habarileo

Mlinzi Chadema amdhalilisha Meya

WA K A T I m v u a i k i s ambaratisha mikutano ya Chadema mkoani hapa, tafrani imezuka jukwaani kwa mmoja wa walinzi wa viongozi walio kwenye msafara wa chama hicho kumkunja shati na kumtoa kwenye kiti cha viongozi wakuu, Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Bakari Beji.

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema yateua Meya Manispaa ya Kinondoni

Pg 2Veronica Romwald na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Konondoni, kimempitisha Diwani mteule wa Ubungo, Boniface Jacob (Chadema), kuwa mgombea umeya wa Manispaa ya Kinondoni, huku akiwakilisha mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mgombea huyo alikuwa akiwania nafasi hiyo huku akipambana na diwani mwenzake mteule wa Kata ya Mbweni, Abdunel Elibariki (Chadema) ambaye alishindwa kutamba.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yamkalia kooni Meya Silaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku 21 Diwani wa Ukonga, Jerry Silaa, kutoa maelezo ziliko fedha za ujenzi wa ofisi ya kata zaidi ya sh. milioni 175. Chama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA

OFISI za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, jana ziligeuka uwanja wa masumbwi baada ya Mstahiki Meya, Henry Matata na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuchapana...

 

9 years ago

Mwananchi

Ngumi zatawala uchaguzi wa meya Tanga

Kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji la Tanga cha kumchagua meya na naibu wake, jana kiliishia kwa wajumbe kutwangana ngumi mara mbili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani