Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mlinzi Chadema amdhalilisha Meya

WA K A T I m v u a i k i s ambaratisha mikutano ya Chadema mkoani hapa, tafrani imezuka jukwaani kwa mmoja wa walinzi wa viongozi walio kwenye msafara wa chama hicho kumkunja shati na kumtoa kwenye kiti cha viongozi wakuu, Meya wa Manispaa ya Kigoma Ujiji, Bakari Beji.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Polisi waendelea na uchunguzi dhidi ya Mlinzi wa Katibu Mkuu wa CHADEMA

Na Chalila Kibuda ,Globu ya jamii
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linaendelea na uchunguzi dhidi ya Mlinzi wa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Dk.Wilbrod Slaa anayedaiwa kufanya njama ya kumuua kwa sumu, Bw. Khalid Kagezi.
Akizungumza na waandishi wa habari leo,Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova amesema wamechukua maelezo kwa Katibu Mkuu Dk.Wilbrod Slaa pamoja na maelezo ya mlizi wake Khalid Kagezi.Kamishina Kova amesema...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

 

9 years ago

Mtanzania

Chadema yateua Meya Manispaa ya Kinondoni

Pg 2Veronica Romwald na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Konondoni, kimempitisha Diwani mteule wa Ubungo, Boniface Jacob (Chadema), kuwa mgombea umeya wa Manispaa ya Kinondoni, huku akiwakilisha mwamvuli wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Mgombea huyo alikuwa akiwania nafasi hiyo huku akipambana na diwani mwenzake mteule wa Kata ya Mbweni, Abdunel Elibariki (Chadema) ambaye alishindwa kutamba.

Akitangaza matokeo ya uchaguzi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

CHADEMA yamkalia kooni Meya Silaa

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimempa siku 21 Diwani wa Ukonga, Jerry Silaa, kutoa maelezo ziliko fedha za ujenzi wa ofisi ya kata zaidi ya sh. milioni 175. Chama...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA

OFISI za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, jana ziligeuka uwanja wa masumbwi baada ya Mstahiki Meya, Henry Matata na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuchapana...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema ‘wapotezea’ ahadi ya kuuza gari la Meya

MADIWANI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameipotezea ahadi ya kuuza gari la kisasa lililokuwa likitumiwa na aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Iringa, Amani Mwamwindi (CCM) waliyoitoa wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.

 

11 years ago

Habarileo

Meya Chadema amdunda mgambo wa kike Arusha

NAIBU Meya wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Prosper Msofe, anadaiwa kumpiga mgambo wa kike na kusababisha alazwe katika Hospitali ya Levolosi.

 

9 years ago

Michuzi

RAY MBOYA KUPEPERUSHA BENDERA YA CHADEMA NAFASI YA MEYA MANISPAA YA MOSHI


Waliokuwa washindani katika nafasi ya kuwania kuteuliwa na Chadema nafasi ya Meya wa manispaa ya Moshi,Francis Shio (kushoto) akimpongeza Raymond Mboya baada ya kutangazwa mshindi kwa kupata kura 16 dhidi ya kura 10 za Shio . Msimamizi wa Uchaguzi wa nafasi ya Meya ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Edward Makabayo akizungumza jambo wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi huo. Meya wa Manispaa ya Moshi aliyemaliza muda wake na Mbunge wa sasa wa jimbo la Moshi mjini,Jafary...

 

9 years ago

Michuzi

JIJI LA MBEYA LAPATA MEYA MPYA DAVID MWASILINDI (CHADEMA) DIWANI KATA YA NZOVWE

Meya Mteule wa jiji la Mbeya Diwani wa Kata ya Nzovwe(CHADEMA) Ndugu David Mwasilindi ambaye aliibuka kidedea kwa kupata kura 34 dhidi ya Mpinzani wake wa CCM aliyepata kura 14 katika uchaguzi uliofanyika Desemba 10 katika ukumbi wa Mkapa jijini humo. Katibu Tawala Wilaya ya Mbeya Ndugu Quip Mbeyela ambaye ndiye aliyekuwa Mwenyekiti katika Kikao cha Baraza la Madiwani ambacho kiliketi kufanya uchaguzi wa kumpata Meya wa jiji hilo pamoja na Naibu Meya katika Halmashauri ya jiji la Mbeya . 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani