Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngumi zatawala uchaguzi wa meya Tanga

Kikao cha Baraza la Madiwani wa Jiji la Tanga cha kumchagua meya na naibu wake, jana kiliishia kwa wajumbe kutwangana ngumi mara mbili.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Meya atwangana ngumi na diwani CHADEMA

OFISI za Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela jijini Mwanza, jana ziligeuka uwanja wa masumbwi baada ya Mstahiki Meya, Henry Matata na madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuchapana...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUFANYIKA MKWAKWANI TANGA MEI 2

Na Mwandishi Wetu
Bondia Alen Kamote wa Tanga atapanda uringoni mei 2 katika uwanja wa mkwakwani tanga kukabiliana na Emilio Norfat katika mpambano wa raundi 12 mbali na mpambano uho siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine makala moja ya mpambano wenye mvuto zaidi ni kati ya bondia mwenye makazi yake mkoa wa Morogoro Cosmas Cheka atakaekabiliana na Said Mundi kutoa mkoa wa tanga

promota wa mpambano uho Ally Mwazoa aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine...

 

10 years ago

Michuzi

NGUMI ZILIVYOPIGWA SIKUKUU YA IDI MKWAKWANI TANGA

Bondia Jacob Maganga na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde mpaka mwisho wa mpambano matokeo ni drooBondia Thomas Mashali akioneshana umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu Bondia Thomas Mashali akioneshana umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa...

 

5 years ago

Michuzi

MEYA TANGA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUTHAMINI IMANI ZA WATU


Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani

MSTAHIKI meya wa Jiji la Tanga Alhaji Mustapha Selebosi akizungumza wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani leo kulia ni Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Tanga Meja Mstaafu Mkoba
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akizungumza wakati wa kikao hicho kulia ni Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa na kushoto ni Mstahiki Meya wa Jiji hilo Alhaj...

 

9 years ago

Habarileo

Chadema wavutana uchaguzi wa Meya

MVUTANO umezuka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupinga uongozi wa juu wa chama hicho kuahirisha uchaguzi wa Meya na Naibu Meya wa Jiji la Arusha uliotakiwa kufanyika Ijumaa iliyopita.

 

9 years ago

Mwananchi

Mvutano watawala uchaguzi wa meya Iringa

Mchuano wa kumpata meya wa Manispaa ya Iringa kupitia Chadema umechukua sura mpya baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi wa kura za maoni uliokuwa umepangwa kufanyika juzi, kutokana na kuwapo mvutano mkali wa wagombea ndani ya chama hicho.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wake wa meya walio jela washinda uchaguzi

Wake 2 wa meya wawili wa upinzani waotumikia kifungo cha jela nchini Venezuela wameshinda uchaguzi na kuwarithi waume zao.

 

9 years ago

Michuzi

MADIWANI KUTOKA KATIKA MAJIMBO YA ILALA,UKONGA NA SEGEREA WAAPISHWA, UCHAGUZI WA KUMPATA MEYA NA NAIBU WAAHIRISHWA

Manispaa ya Ilala Dar es Salaam nako wameshindwa kuchagua Meya na Naibu Meya baada ya baadhi ya madiwani kuamua kukiuka taratibu za uchaguzi kwa kuamua kupiga picha kwa kutumia simu ya mkononi karatasi ya kupigia kura. 
Uchaguzi huo ulitakiwa kufanyika jana saa nne lakini kutokana na kuibuka kwa dosari hizo ambazo zilisababisha uchaguzi huo kuahirishwa.Baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala ambaye alikuwa mwenyekiti wa uchaguzi John Ngonyani alisema wameamua...

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA KINONDONI, YUSUPH MWENDA ATWAA TUZO YA MEYA BORA AFRIKA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi cheti cha Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la Afrika Kundi la Majiji ya Kati (Medium Size Cities) kwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda katika hafla iliyo zilizotolewa na Jumuiya ya Tawala za Mitaa ya Afrika (UCLGA), Dar es Salaam jana.Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Hawa Ghasia akikabidhi Tuzo ya Meya/ Halmashauri Bora katika Bara la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani