Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MADIWANI KUTOKA KATIKA MAJIMBO YA ILALA,UKONGA NA SEGEREA WAAPISHWA, UCHAGUZI WA KUMPATA MEYA NA NAIBU WAAHIRISHWA

Manispaa ya Ilala Dar es Salaam nako wameshindwa kuchagua Meya na Naibu Meya baada ya baadhi ya madiwani kuamua kukiuka taratibu za uchaguzi kwa kuamua kupiga picha kwa kutumia simu ya mkononi karatasi ya kupigia kura. 
Uchaguzi huo ulitakiwa kufanyika jana saa nne lakini kutokana na kuibuka kwa dosari hizo ambazo zilisababisha uchaguzi huo kuahirishwa.Baada ya kuahirishwa kwa uchaguzi huo, Katibu Tawala wa Wilaya ya Ilala ambaye alikuwa mwenyekiti wa uchaguzi John Ngonyani alisema wameamua...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WENYEVITI NA WAJUMBE WA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA KATIKA MAJIMBO YA ILALA, UKONGA NA SEGEREA WAAPISHWA LEO

Baadhi ya Wajumbe wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa Serikali kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo.
Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa...

 

10 years ago

Michuzi

Wenyeviti na Wajumbe wa Serikali za Mitaa kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea waapishwa leo

 Baadhi ya Wajumbe wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa Serikali kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,Mnazi Mmoja jijini Dar es salaam leo. Baadhi ya Wenyeviti wa Serikali za Mitaa waliopatikana katika Uchaguzi uliofanyika hivi karibuni kutoka katika Majimbo ya Ilala,Ukonga na Segerea wakila kiapo mbele Wakili wa Serikali (hayupo pichani) kwenye Ukumbi wa Arnautoglo,Mnazi Mmoja jijini...

 

10 years ago

Dewji Blog

Meya Jerry Slaa wa Ilala atangaza rasmi kugombea ubunge jimbo la Ukonga

Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM,Alhaji Adam Kimbisa.

Diwani wa  kata ya  Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akihutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA JERRY SILAA WA ILALA ATANGAZA RASMI KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA UKONGA

Meya wa Ilala, Jerry Slaa akifuatilia kwa karibu burudani zilizokuwa zinatolewa na vikundi mbalimbali katika mkutano huo. Pamoja nae ni Mbunge wa Afrika Mashariki na Mjumbe wa NEC wa CCM, Diwani wa  kata ya  Gongo la Mboto na Meya wa Manispaa ya Ilala,Jerry Slaa akihutubia wananchi katika uwanja wa shule ya msingi kitunda mwishoni mwa wiki ambapo alieleza mafanikio yaliyopatikana wakati wa kipindi chake cha uongozi na kukamilisha ahadi mbalimbali alizokuwa amezitoa.Mmoja wa wawakilishi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MEYA WA ILALA FANYA UKAGUZI WA UJENZI WA BARABNARA HII YA UKONGA MAZIZINI - MOSHI BAR


LEO katika Porojo za ANKO KIDEVU anafunguka kuhusina na ujenzi wa barabara ya Ukonga Mazizini - Moshi Bar yenye urefu wa Kilometa 3 ambayo ulielezwa kugharimu shilingi milioni 90. Kusoma zaidi BOFYA >>>> FATHER KIDEVU BLOG

 

11 years ago

Michuzi

MEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa Jana amefanya ziara fundi ya ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya ukonga Moshibar kilometa 3 kiwango cha changalawe awamu yakwanza. Ikiwa ni utekelezaji wa miradi ya dharura kulingana na uharibifu wa miundo mbinuulitokea baada ya Mvua kubwa. Mradi huo ambao unaghalimu kiasi cha shilingi millioni 90.Pesa za Ujenzi huohizo zinatoka Halmashauri ya Manispaa ya Ilala.Pia Barabara hiyo itawekwa Lami kwa awamu ya pili ndani ya mwaka huu kwa...

 

11 years ago

GPL

MEYA WA ILALA JERRY SILAA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA BARABARA YA UKONGA KUELEKEA MAZIZINI MPAKA MOSHI BAR‏

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala Jerry Silaa wa Kwanza kushoto akiwa na Mhandisi wa Barabara(mwenye shati Jeusi) pamoja na Diwani wa ukonga Elizabeth Mbano(katikati) na wa kwanza Kulia ni Mhandisi wa Manispaa Bwana Muhinda Kassimu wakitazama maendeleo ya ujenzi wa kipande cha barabara kutoka ukonga-mazizini mpaka moshi bar.… ...

 

10 years ago

Michuzi

MEYA WA ILALA KATIKA MAADHIMISHO YA Siku ya ukimwi Duniani

Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa leo amehudhuria maadhimisho ya siku ya ukimwi yaliyoadhimishwa na Manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti na ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa akipatiwa maelezo kutoka kwa  mmoja wa wataalamu wa maswala ya VVU wakati alipotembelea maadhimisho hayo.Meya wa Manispaa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani