MEYA WA ILALA KATIKA MAADHIMISHO YA Siku ya ukimwi Duniani
![](http://2.bp.blogspot.com/-h219-HaQ8ck/VHy9XZTCdCI/AAAAAAAG0oc/eHc8pDVNi7k/s72-c/unnamed%2B(32).jpg)
Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa leo amehudhuria maadhimisho ya siku ya ukimwi yaliyoadhimishwa na Manispaa ya Ilala kwenye kata ya Vingunguti na ametumia fursa hiyo kuhamasisha wanaume kupima VVU kwani takwimu zinaonyesha asilimia ndogo ya wanaume wanajitokeza kupima.Meya wa Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam,Mstahiki Jerry Silaa akipatiwa maelezo kutoka kwa mmoja wa wataalamu wa maswala ya VVU wakati alipotembelea maadhimisho hayo.
Meya wa Manispaa ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-WQUbL4QlA60/VHyjTdttiVI/AAAAAAADPOU/FSKDllq3KO8/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI, KITAIFA MKOANI NJOMBE
![](http://3.bp.blogspot.com/-WQUbL4QlA60/VHyjTdttiVI/AAAAAAADPOU/FSKDllq3KO8/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-GLHgJ0yHvMI/VHyjVfxqLQI/AAAAAAADPOg/DGyCGhrCkyo/s1600/3.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-5PNENaKjnkI/VG9oe1FQJvI/AAAAAAAGyu8/J2sj5Yz-IZU/s72-c/tacaids%2B-%2B2.jpg)
MAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI KUFANYIKA KITAIFA MKOANI NJOMBE.
![](http://2.bp.blogspot.com/-5PNENaKjnkI/VG9oe1FQJvI/AAAAAAAGyu8/J2sj5Yz-IZU/s1600/tacaids%2B-%2B2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-d941_g43zQk/VG9oehS20SI/AAAAAAAGyu4/Ux0guocc3dY/s1600/tacaids%2B-%2B1.jpg)
9 years ago
StarTV27 Nov
Kuahirishwa kwa  maadhimisho Siku Ya Ukimwi Duniani kwapokelewa tofauti
Siku moja baada ya Serikali kutangaza kuahirisha shughuli za maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo yalipangwa kufanyika Kitaifa mkoani Singida mwaka huu, baadhi ya watu wanaoishi na Virusi vya ugonjwa huo wamekuwa na maoni na mitazamo tofauti juu ya uamuzi huo.
Baadhi wamepongeza uamuzi huo wa Serikali na wengine wakidai umechelewa kutolewa kwa kuwa wadau wengi walikwishaingia gharama kubwa za maandalizi na kusafiri hadi Singida kuhudhuria uzinduzi wa maadhimsiho hayo Jumatano hii...
9 years ago
Dewji Blog13 Nov
Wadau wa afya Mkoani Mbeya wakutana kujadili kuelekea siku ya Maadhimisho ya UKIMWI Duniani !
9 years ago
Dewji Blog03 Nov
Mkoa wa Singida mwenyeji maadhimisho ya siku ya Ukimwi duniani, Desemba Mosi mwaka huu
![DSCN5254](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/11/DSCN5254.jpg)
9 years ago
MichuziWADAU WA AFYA MKOANI MBEYA WAKUTANA NA KUJADILIANA KUELEKEA SIKU YA MAADHIMISHO YA UKIMWI DUNIANI
9 years ago
MichuziMAADHIMISHO YA SIKU YA UKIMWI DUNIANI MWAKA 2015 KUFANYIKA KITAIFA DESEMBA MOSI MKOANI SINGIDA
Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dk.Fatma Mrisho (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani mwaka 2015 yatakayofanyika kitaifa Desemba Mosi mkoani Singida. Kulia ni Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi.
Na Dotto Mwaibale
MAAMBUKIZI ya virusi vya Ukimwi nchini yameongezeka kwenye kundi la vijana wenye umri wa miaka kati ya 19 mpaka 24 tofauti na ilivyokuwa miaka minne...
11 years ago
Michuzi30 Apr
PSPF WASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA USALAMA NA AFYA DUNIANI KWA WAFANYAKAZI,KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA DAR
10 years ago
Michuzi07 Oct
NHC katika maadhimisho ya kilele cha Siku ya Makazi Duniani