Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGUMI ZILIVYOPIGWA SIKUKUU YA IDI MKWAKWANI TANGA

Bondia Jacob Maganga na Said Mundi wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde mpaka mwisho wa mpambano matokeo ni drooBondia Thomas Mashali akioneshana umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa T.K.O ya raundi ya tatu Bondia Thomas Mashali akioneshana umwamba na Allibaba Ramadhani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika uwanja wa mkwakwani Tanga siku ya sikukuu ya Iddi Mashali alishinda kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUFANYIKA MKWAKWANI TANGA MEI 2

Na Mwandishi Wetu
Bondia Alen Kamote wa Tanga atapanda uringoni mei 2 katika uwanja wa mkwakwani tanga kukabiliana na Emilio Norfat katika mpambano wa raundi 12 mbali na mpambano uho siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine makala moja ya mpambano wenye mvuto zaidi ni kati ya bondia mwenye makazi yake mkoa wa Morogoro Cosmas Cheka atakaekabiliana na Said Mundi kutoa mkoa wa tanga

promota wa mpambano uho Ally Mwazoa aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA TANDIKA

Bondia Azizi Rashid kushoto akipambana na Azizi Abdallah wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe Abdallah alishinda kwa point mpambano uho Bondia Hassan Rajabu kushoto akipambana na Said Wigo wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika maguruwe mpambano huo ulisha kwa droo Bondia Amani Bariki kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ally Mustafa wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar tandika...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZA TPBC NA KINYOGOLI FONDITION ZILIVYOPIGWA


Mwenyekiti wa kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Chaurembo Palasa kushoto akimkabidhi mtoto Salim Mponda kifuta jasha ambacho kilitolewa na mashabiki wa mchezo wa masumbwi yaliyofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala baada ya kuonesha shoo safi ya ngumi

Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond Mbwago wakati wa mpambano uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam Bwago alishinda kwa point

Bondia Omari Mwezi kushoto akipambana na Raymond...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA KIBAHA MKOA WA PWANI

Bondia Rajabu Omari kushoto akioneshana umwamba na Herman Shekivuli wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani Shekifuli alishinda kwa K,O ya raundi ya kwanzaBondia Mustafa Dotto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Max wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha Mkoa wa Pwani mwishoni mwa wiki iliyopita Dotto alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu ya mpambano huoBondia Shedrack Ignas kushoto akipambana na Fred Masinde wakati wa mpambano wao uliofanyika Kibaha mkoa...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE MASHALI, KAONEKA WASHINDA KWA K,O

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhan Alfani wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda kwa K,O ya Raundi ya kwanza Shabani Kaoneka akinuliwa kuwa mshindiBondia Fred Sayuni kushoto akipambana na Mbayo Ilunga wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Sayuni alishinda kwa K,O raundi ya piliBondia Henry Wandela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Thomas Mashali wakati wa mpambano wao Mashali...

 

5 years ago

Michuzi

REDCROSS TANGA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MAJI TIRIRIKA UWANJA WA MKWAKWANI TANGA


MENEJA wa uwanja wa CCM Mkwakwani Nasoro Makau kulia akitokea msaada wa vifaa vya maji tiririka kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania Mkoani Tanga (Red Cross) Ester Wiliam ambavyo vitatumika kuwekwa milangoni kwa ajili ya watazamaji wanaoingia kwenye uwanja huo kushuhudia michezo mbalimbali kuweza kunawa mikono ikiwa ni mapambano dhidi ya Covid 19 kulia ni Mratibu wa Shirika hilo Sada Kombo.

MENEJA wa uwanja wa CCM Mkwakwani Nasoro Makau akinawa mikono mara...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI ZILIVYOPIGWA MANZESE KATIKA KIPINDI CHA XMASI NA MWAKA MPYA

Bondia Jacobo Maganga kushoto akipambana na Shabani Kaoneka wakati wa mpambano wao uliomalizika kwa sare Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Mabondia wa uzito wa juu Iddi Bonge kushoto na Mussa Mbabe wakipambana wakati wa mpambano wao Bonge alioshinda kwa K,O ya raundi ya kwanza na kumsambalatisha Mussa Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila...

 

10 years ago

Michuzi

MABONDIA KUZIPIGA KESHO JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

 Bondia Francis Miyeyusho (kushoto)  akitunishiana misuli na Emilio Norfat ambao watazipiga kesho Jumapili October  5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane.--------------------------------------------   MABONDIA mbalimbali watazipiga siku ya Jumapili kwa ajili ya mpambano wa ubingwa ambapo bondia kutoka mkoa wa Tanga Tanzania Alen Kamote 'Rasta'' atazipiga na Osgood Kayuni wa Malawi kugombea ubingwa wa Dunia wa UBO kg 61.Hiyo ndio siku ya kufurahia kwa wakazi wa Tanga...

 

5 years ago

Michuzi

FAINALI YA MASHINDANO YA REDE KUPIGWA LEO MKWAKWANI TANGA


Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Brothers Intertaiment Nasoro Makau ambao ndio waandaaji wa Mashindano ya Rede Jijini Tanga akizungumza na waandishi wa habari kuelekea Fainali ya Mashindano hayo kushoto ni

Mratibu wa Mashindano hayo Zaituni Mango kulia ni Msimamizi wa Waamuzi Magdalena Liwemba
Mratibu wa Mashindano hayo Zaituni Mango akisisitiza jambo kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Five Brothers Intertaiment Nasoro Makau ambao ndio waandaaji wa Mashindano ya Rede Jijini Tanga na Msimamizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani