MABONDIA KUZIPIGA KESHO JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA
Bondia Francis Miyeyusho (kushoto) akitunishiana misuli na Emilio Norfat ambao watazipiga kesho Jumapili October 5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane.-------------------------------------------- MABONDIA mbalimbali watazipiga siku ya Jumapili kwa ajili ya mpambano wa ubingwa ambapo bondia kutoka mkoa wa Tanga Tanzania Alen Kamote 'Rasta'' atazipiga na Osgood Kayuni wa Malawi kugombea ubingwa wa Dunia wa UBO kg 61.Hiyo ndio siku ya kufurahia kwa wakazi wa Tanga...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI
10 years ago
VijimamboMABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI WA TANGA KUPIGANA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA
5 years ago
MichuziREDCROSS TANGA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MAJI TIRIRIKA UWANJA WA MKWAKWANI TANGA
MENEJA wa uwanja wa CCM Mkwakwani Nasoro Makau kulia akitokea msaada wa vifaa vya maji tiririka kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Msalaba Mwekundu Tanzania Mkoani Tanga (Red Cross) Ester Wiliam ambavyo vitatumika kuwekwa milangoni kwa ajili ya watazamaji wanaoingia kwenye uwanja huo kushuhudia michezo mbalimbali kuweza kunawa mikono ikiwa ni mapambano dhidi ya Covid 19 kulia ni Mratibu wa Shirika hilo Sada Kombo.
MENEJA wa uwanja wa CCM Mkwakwani Nasoro Makau akinawa mikono mara...
9 years ago
VijimamboMABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA LEO JUMAPILI
10 years ago
Vijimambo27 Feb
MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
11 years ago
GPL![](http://2.bp.blogspot.com/-XFePXIEXH4g/Ur8PM8zr9nI/AAAAAAACYEk/fBAJFZaNf4A/s640/IMG_8404.jpg)
ROSE MUHANDO AWAKUNA WAKAZI WA TANGA UWANJA WA MKWAKWANI LEO
10 years ago
Vijimambo14 Mar
NGUMI KUPIGWA JUMAPILI UWANJA WA NDANI WA TAIFA MABONDIA WAZIDUNDA KAVU KAVU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/CWRwFfvur*CmgJiqo*TNY0j2sFvd6zhUfERTlPqI22I1gcvagUrUor1qcEOtc0rhMN7b52M2rxiNKMy3PoV-pvBcKoVMazQa/yangateam.jpg)
YANGA KUIVAA AZAM UWANJA WA TAIFA KESHO JUMAPILI
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Mabondia kuzipiga Christimass