MABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI
Mratibu wa mpambano wa masumbwi Antony Rutta Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Yonas Segu kushoto na Idi Pialali kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili hii katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS
Bondia Yonas Segu kushoto akitunishiana misuli na Idi Pialali mara baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumapili utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS
Bondia Ismail Ndende kushoto...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboMABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA LEO JUMAPILI
10 years ago
MichuziMABONDIA KUZIPIGA KESHO JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
10 years ago
Vijimambo27 Feb
MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
10 years ago
VijimamboMABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Mabondia kuzipiga Christimass
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Mabondia nyota Afrika kuzipiga Tanzania