Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mabondia nyota Afrika kuzipiga Tanzania

Shirikisho la Ngumi za kulipwa la Afrika (IBF Africa) kwa kushirikiana na Taasisi ya Miss Tanzania 2012, Brigitte Alfred Foundation (BAF) wameandaa mapambano ya ngumi ya kimataifa ya IBF yatakayoshirikisha mabondia nyota duniani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mabondia kuzipiga Christimass

Mabondia Francis cheka na Thomas Mashali ,leo watakuwa katika pambano la maadhimisho ya siku kuu ya Krismass

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA IDDI BONGE NA ALIPHONCE MCHUMIATUMBO KUZIPIGA FEB 14

NA MWANDISHI WETU
MABONDIA wenye uzito wa juu nchini Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu 'Iddi Bonge' watapambana Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba wakigombania ubingwa wa taifa pamoja na pikipiki akizungumzia mpambano huo promota Shabani Manyoka amesema kupitia kampuni ya Mahamba Incorporation Limited wameamua kuandaa mpambano huo wa uzito wa juu ambao ni admu sana nchini kufanyika na ndio mabondia wanaokubalika Duniani kote

mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA KASEBA NA MASHALI WASAINI KUZIPIGA MACHI 29, 2014


Mabondia Thomas mashali na Japhet kaseba wamesaini makubaliano ya kucheza  pambano la ubingwa wa mabara wa Universal Boxing Organization (UBO) pambano litakalopigwa tarehe 29 march 2014 katika ukumbi wa Karume hall zamani ukiitwa PTA hall.  Pambano hilo linaandaliwa na mratibu mashuhuri katika masuala ya ngumi za kulipwa nchini hususani pande za Tanga Ally Mwanzoa alifurahishwa sana kwa nidhamu iliyooneshwa na mabondia hao wakati wa zoezi la kusaini mkataba wa makubaliano hayo...

 

10 years ago

Michuzi

MABONDIA KUZIPIGA KESHO JUMAPILI UWANJA WA MKWAKWANI TANGA

 Bondia Francis Miyeyusho (kushoto)  akitunishiana misuli na Emilio Norfat ambao watazipiga kesho Jumapili October  5 katika uwanja wa Mkwakwani Tanga mpambano wa raundi nane.--------------------------------------------   MABONDIA mbalimbali watazipiga siku ya Jumapili kwa ajili ya mpambano wa ubingwa ambapo bondia kutoka mkoa wa Tanga Tanzania Alen Kamote 'Rasta'' atazipiga na Osgood Kayuni wa Malawi kugombea ubingwa wa Dunia wa UBO kg 61.Hiyo ndio siku ya kufurahia kwa wakazi wa Tanga...

 

5 years ago

BBCSwahili

Mabondia Deontay Wilder na Tyson Fury kuzipiga Las Vegas.

Gumzo limekua likiendelea juu ya ndondi kati ya bingwa wa uzani wa heavy mkanda wa WBC Deontay Wilder na mpinzani wake Tyson Fury watakapombana huko Las Vegas, Marekani tarehe 22 mwezi wa Februari, lakini je ni nani atakayeibusu sakafu kabla ya mwenzake?

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI

Mabondia Mwinyi Mzengela kushoto na Shomari Milundi wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao jumamosi ya kesho feb 28 utakaofanyika uwanja wa ndani wa taifa Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika Feb 28 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa Bondia Epson John wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa...

 

9 years ago

Vijimambo

MABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA LEO JUMAPILI

Mratibu wa mpambano wa masumbwi Antony Rutta Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Yonas Segu kushoto na Idi Pialali kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Bondia Yonas Segu kushoto akitunishiana misuli na Idi Pialali mara baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumapili utakaofanyika katika ukumbi wa  frends corner manzese Dar es salaam Bondia Ismail Ndende kushoto akitambiana na Mwinyi Mzengela baada ya kupima uzito kwa...

 

9 years ago

Michuzi

MABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI



Mratibu wa mpambano wa masumbwi Antony Rutta Katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Yonas Segu kushoto na Idi Pialali kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili hii katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWS
Bondia Yonas Segu kushoto akitunishiana misuli na Idi Pialali mara baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kesho jumapili utakaofanyika katika ukumbi wa Frends corner Manzese Dar es salaam Picha na SUPERD BOXING NEWSBondia Ismail Ndende kushoto...

 

10 years ago

BBCSwahili

Kenya yawateua mabondia wa ndondi za Afrika

Chama cha ndondi cha Kenya kimechagua mabondia 10 wanaume na watatu wa kike watakaoshiriki michezo ya mataifa ya Afrika nchini Congo Brazaville mwezi Septemba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani