MABONDIA KASEBA NA MASHALI WASAINI KUZIPIGA MACHI 29, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-RA2dpPjaP5s/UwRtgByYzNI/AAAAAAAFN5w/SwxR3bntw6U/s72-c/unnamed+(55).jpg)
Mabondia Thomas mashali na Japhet kaseba wamesaini makubaliano ya kucheza pambano la ubingwa wa mabara wa Universal Boxing Organization (UBO) pambano litakalopigwa tarehe 29 march 2014 katika ukumbi wa Karume hall zamani ukiitwa PTA hall.
Pambano hilo linaandaliwa na mratibu mashuhuri katika masuala ya ngumi za kulipwa nchini hususani pande za Tanga Ally Mwanzoa alifurahishwa sana kwa nidhamu iliyooneshwa na mabondia hao wakati wa zoezi la kusaini mkataba wa makubaliano hayo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLKASEBA, MASHALI KUZIPIGA MACHI 29 MWAKA HUU
9 years ago
MichuziMABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Mashali amzima Kaseba
BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’, juzi alifanikiwa kutwaa ubingwa wa UBO Afrika baada ya kumshinda kwa pointi 97-93 Japhet Kaseba ‘Champion’. Licha ya Mashali kushinda...
11 years ago
TheCitizen24 Mar
Kaseba, Mashali face moment of truth in UBO bout
9 years ago
BBCSwahili25 Dec
Mabondia kuzipiga Christimass
11 years ago
Michuzi21 Feb
KALAMA NYILAWILA ASAINI MKATABA WA KUCHEZA NA BINGWA KATI YA MASHALI AU KASEBA MEI MOSI
Bondia Kalama Nyilawila ameingia...