MABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO
Promota Kaike Silaju katikati akiwainuwa mikoni juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakionesha mikataba yao baada ya kusaini kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziTHOMAS MASHALI AMSHINDA FRANCIS CHEKA KWA POINTI KWENYE MPAMBANO WAO MJINI MOROGORO
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-RA2dpPjaP5s/UwRtgByYzNI/AAAAAAAFN5w/SwxR3bntw6U/s72-c/unnamed+(55).jpg)
MABONDIA KASEBA NA MASHALI WASAINI KUZIPIGA MACHI 29, 2014
![](http://3.bp.blogspot.com/-RA2dpPjaP5s/UwRtgByYzNI/AAAAAAAFN5w/SwxR3bntw6U/s1600/unnamed+(55).jpg)
Mabondia Thomas mashali na Japhet kaseba wamesaini makubaliano ya kucheza pambano la ubingwa wa mabara wa Universal Boxing Organization (UBO) pambano litakalopigwa tarehe 29 march 2014 katika ukumbi wa Karume hall zamani ukiitwa PTA hall. Pambano hilo linaandaliwa na mratibu mashuhuri katika masuala ya ngumi za kulipwa nchini hususani pande za Tanga Ally Mwanzoa alifurahishwa sana kwa nidhamu iliyooneshwa na mabondia hao wakati wa zoezi la kusaini mkataba wa makubaliano hayo...
10 years ago
Vijimambo08 Nov
MABONDIA SAMSON MAISHA NA IBRAHIMU TAMBA WATAMBIANA KUZIDUNDA JUMAPILI NOVEMBA 9 MANYARA PARK MANZESE
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA
10 years ago
MichuziBONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA KESHO MEI 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xhg2Pr8tjKPPfooNGHpwloE0g*MclUo1a2ub4*t1i*A86mmbuKHBhaNk4**HJPzQS1i*8D5SW-5WXyfmM9rysi/MAUGONAMASHALI.jpg?width=650)
MADA MAUGO AMDUNDA THOMAS MASHALI
11 years ago
GPLBONDIA THOMAS MASHALI APATA AJARI
9 years ago
Mtanzania26 Oct
Cheka ajiandaa kumtwanga Mashali
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, ameingia mafichoni kujiandaa na pambano lisilo la kuwania ubingwa la raundi 12 dhidi ya Thomas Mashali lililopangwa kufanyika Desemba 25, mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri, mjini Morogoro.
Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema kwa kuwa Mashali ameanza kumtangazia vita hadharani ameamua kuanza maandalizi mapema ili aweze kumpiga katika raundi za mwanzo.
Cheka alisema amepania kuweka historia mpya ...
9 years ago
Habarileo01 Oct
Mashali, Cheka kuzichapa Krismasi
MABONDIA Thomas Mashali na Francis Cheka watapanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hili lisilokuwa na ubingwa litakuwa la raundi 12.