Cheka ajiandaa kumtwanga Mashali
NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM
BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, ameingia mafichoni kujiandaa na pambano lisilo la kuwania ubingwa la raundi 12 dhidi ya Thomas Mashali lililopangwa kufanyika Desemba 25, mwaka huu katika Uwanja wa Jamhuri, mjini Morogoro.
Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema kwa kuwa Mashali ameanza kumtangazia vita hadharani ameamua kuanza maandalizi mapema ili aweze kumpiga katika raundi za mwanzo.
Cheka alisema amepania kuweka historia mpya ...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Oct
Mashali, Cheka kuzichapa Krismasi
MABONDIA Thomas Mashali na Francis Cheka watapanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hili lisilokuwa na ubingwa litakuwa la raundi 12.
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Mashali sasa amdunda Cheka
9 years ago
TheCitizen16 Dec
Cheka, Mashali to celebrate Xmas in style
10 years ago
Vijimambo02 Mar
BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA
9 years ago
MichuziMABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
9 years ago
MichuziTHOMAS MASHALI AMSHINDA FRANCIS CHEKA KWA POINTI KWENYE MPAMBANO WAO MJINI MOROGORO
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/7zqEL_P_B4U/default.jpg)
21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza
BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
BASATA Kumtwanga Nyundo Nyingine Shilole!
Shilole anaweza akawa anafurahia bata za Marekani baada ya kutumbuiza kwenye show nchini humo, lakini bado BASATA haijamalizana naye.
Katibu Mtendaji wa baraza la sanaa la taifa, BASATA, Geofrey Mngereza ameiambia Radio 5 ya Arusha kuwa adhabu aliyopewa Shilole ya kufungiwa kutojihusisha kwenye masuala ya sanaa kwa mwaka mmoja haijafutwa.
Mngereza alidai kuwa adhabu iliyotolewa kwa Shilole imetokana na sheria na kanuni zilizotokana na bunge na kwamba kwa sasa wanakusanya ushahidi ili...
11 years ago
Tanzania Daima26 Jun
Jaji Werema ataka kumtwanga Kafulila
KASHFA ya ununuzi wa Kampuni ya IPTL na fedha za Escrow, jana nusura iharibu taswira ya Bunge baada ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Fredrick Werema kutaka kumpiga Mbunge wa...