Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashali sasa amdunda Cheka

Bingwa wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka juzi alikula vibaya sikukuu ya Krismasi baada ya kutwangwa kwa pointi na mpinzani wake, Thomas Mashali katika pambano lisilo la ubingwa la raundi 10 uzani wa kg 67 lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MADA MAUGO AMDUNDA THOMAS MASHALI

BONDIA Mada Maugo amemshushia kichapo bondia Thomas Mashali katika mpambano wao kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikabiliana na Mada Maugo kwenye Tamasha la Matumaini 2014.…

 

10 years ago

Michuzi

MASHALI AMDUNDA BIGRIGHT NA KUMPORA SIMU NA PESA

Bondia Thomas mashale wa manzese jijini Dar es salaam alifanya kitendo cha kusikitisha na kushangaza umma katika ukumbi wa friends corner uliopo Manzese ,pale alipomvamia katibu wa ngumi za kulipwa nchini Ibrahim Kamwe (bigright) kumpiga na kumpora simu na pesa. Akizungumza na vyanzo habari hizi Ibrahim kamwe alisema.”Nilikuwepo ukumbini  hapo friends corner nikishuhudia mpambano wa Jonas Segu na idd Pearali kwa kuwa watu walikuwepo ni wengi mno na pale mbele kulikuwa na fujo za...

 

10 years ago

Habarileo

Mashali, Cheka kuzichapa Krismasi

MABONDIA Thomas Mashali na Francis Cheka watapanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hili lisilokuwa na ubingwa litakuwa la raundi 12.

 

10 years ago

Mtanzania

Cheka ajiandaa kumtwanga Mashali

FRANCISI-CHEKA-PIX-NO-011NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, ameingia mafichoni kujiandaa na pambano lisilo la kuwania ubingwa la raundi 12  dhidi ya Thomas Mashali lililopangwa kufanyika Desemba 25, mwaka huu katika Uwanja wa  Jamhuri, mjini Morogoro.

Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema  kwa kuwa Mashali ameanza kumtangazia vita hadharani ameamua kuanza maandalizi mapema ili aweze kumpiga katika raundi za mwanzo.

Cheka alisema amepania kuweka historia mpya ...

 

9 years ago

TheCitizen

Cheka, Mashali to celebrate Xmas in style

A tricky task awaits renowned professional boxer Francis “SMG” Cheka when he takes on Thomas Mashali in a non-title light-middleweight fight on December 25.

 

10 years ago

Michuzi

MABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO


Promota Kaike Silaju katikati akiwainuwa mikoni juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakionesha mikataba yao baada ya kusaini kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

THOMAS MASHALI AMSHINDA FRANCIS CHEKA KWA POINTI KWENYE MPAMBANO WAO MJINI MOROGORO

 Bondia Thomas Mashali (kushoto)  akioneshana umwamba na Francis  Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi Bondia Thomas Mashali akikwepa konde la  Francis  Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi. Picha na...

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1

Bondia Francis ‘SMG’ Cheka ameumia mkono wakati akifanya mazoezi ya kupigana na mdogo wake Cosmas hivyo kulazimika pambano lake na Valery Brudov wa Russia kusogezwa hadi Machi Mosi.

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka sasa kusaka ubingwa wa WBF Juni 6

Pambano la bondia Francis Cheka la kuwania ubingwa wa dunia unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi za Dunia (WBF), sasa litafanyika Juni 6 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani