MASHALI AMDUNDA BIGRIGHT NA KUMPORA SIMU NA PESA
![](http://1.bp.blogspot.com/-TOrOCfb9Gy4/VicVRWNCS2I/AAAAAAAIBbw/1byKcVlwFM8/s72-c/032-1.jpg)
Bondia Thomas mashale wa manzese jijini Dar es salaam alifanya kitendo cha kusikitisha na kushangaza umma katika ukumbi wa friends corner uliopo Manzese ,pale alipomvamia katibu wa ngumi za kulipwa nchini Ibrahim Kamwe (bigright) kumpiga na kumpora simu na pesa. Akizungumza na vyanzo habari hizi Ibrahim kamwe alisema.”Nilikuwepo ukumbini hapo friends corner nikishuhudia mpambano wa Jonas Segu na idd Pearali kwa kuwa watu walikuwepo ni wengi mno na pale mbele kulikuwa na fujo za...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi27 Dec
Mashali sasa amdunda Cheka
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/xLJQfJNYZ-xhg2Pr8tjKPPfooNGHpwloE0g*MclUo1a2ub4*t1i*A86mmbuKHBhaNk4**HJPzQS1i*8D5SW-5WXyfmM9rysi/MAUGONAMASHALI.jpg?width=650)
MADA MAUGO AMDUNDA THOMAS MASHALI
11 years ago
Habarileo24 Jan
Chama cha mawakala wa pesa za simu chasajiliwa
CHAMA cha mawakala wa huduma za pesa za simu za mkononi kimekamilisha usajili wa chama hicho. Akizungumza na waandishi wa habari leo msemaji wa chama hicho, Stanford Mbengane alisema kuwa usajili wa chama hicho umekamilika tangu Januari 10 mwaka huu.
10 years ago
CloudsFM14 Jan
MTU ASIYEFAHAMIKA AME’HACK’ NAMBA YA SIMU YA FID Q NA KUWATAPELI WATU PESA
Hivi karibuni zimeenea habari za mastaa wa Kibongo namba zao za simu kuwa ‘hacked’ tukio hilo lilishamkuta msanii Snura,ambapo kwa saa zisizozidi 48 tayari mastaa wawili wa Bongo Fleva namba zao zimekua hacked,ambao ni Ambwene Yesaya ‘AY’ na Fareed Kubanda ‘Fid Q’.
Mtu huyo asiyefahamika alihack namba ya simu ya FID Q na kuwapigia watu wake wa karibu msanii huyo na kuwakopa hela.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lBkSnz9u4Ck/Xsg47FlZ8KI/AAAAAAALrVQ/2VGg2SAV7BEr-Gq9M12PQK0TtCRRqlxuQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-22%2Bat%2B10.51.05%2BPM.jpeg)
Huduma ya pesa kwa njia ya simu inavyoweza kutusaidia kupunguza maambuki ya corona
![](https://1.bp.blogspot.com/-lBkSnz9u4Ck/Xsg47FlZ8KI/AAAAAAALrVQ/2VGg2SAV7BEr-Gq9M12PQK0TtCRRqlxuQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-05-22%2Bat%2B10.51.05%2BPM.jpeg)
Katika nyakati za changamoto hii ni lazima kuhakikisha sote tunashirikiana ili kuzuia kuenea kwa maambukizi ya kirusi cha homa hii.
Tumeona namna watu binafsi na hata wafanyabiashara wanavyobuni mbinu mpya ili maisha yaweza kuendelea huku tukipambana kuzuia maambukizi. Sekta ya usafiri ilikuwa moja ya sekta za mwanzo sana kutafuta mbinu...
9 years ago
Dewji Blog29 Sep
BENKI YA DUNIA: Tanzania yaongoza Duniani kutoa huduma za Pesa kwa simu za mkononi!
Picha ya Maktaba inavyoonesha namna ya huduma za kifedha zinavyofanyika kutoka simu ya mteja mmoja na kwenda kwa mteja mwingine kwa kutumiana pesa kwa njia hiyo ya simu za Mkononi, ambapo kwa Tanzania imekuwa kinara katika huduma hiyo.
TANZANIA ni nchi ya kwanza duniani kutoa huduma za pesa, kutoa mikopo na kutoa riba kwa
kutumia mawasiliano ya simu, Benki ya Dunia imesema na kuongeza kuwa Tanzania
ni moja ya masoko makubwa zaidi duniani ya kutoa huduma ya fedha kwa njia...
5 years ago
MichuziWATOA HUDUMA WA FEDHA KUANZA KUSAJILIWA MWEZI HUU,WAMO MAWAKALA WA PESA KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI
Mkurugenzi wa Mifumo ya Malipo ya Taifa, Kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT),Bw.Bernard Dadi akizungumza kwenye Semina ya Waandishi wa Habari za Uchumi na Fedha inayoendelea jijini Arusha, kuhusu Kanzidata ya kudumu ya watoa huduma wa kifedha,na ufafanuzi zaidi kuhusukusajiliwa kwa Watoa huduma wa Fedha nchini.
Dadi amesema kuwa usajili huo utakuwa ni wa lazima kwa yoyote atakaye husika na utoaji wa huduma wa Fedha,na kwamba usajili huo unatarajiwa kuanza rasmi Mwezi Machi-Aprili 2020 kwa...
9 years ago
Dewji Blog26 Aug
Kampuni ya simu ya Tigo yazindua kampeni ya ‘Chagua Tigo Pesa, Inalipa’
Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana katika uzinduzi wa kampeni ya ya Chagua Tigo Pesa, Inalipa. Kulia ni Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga.
Meneja Bidhaa wa Tigo, William Mpinga (kulia), akizungumza katika uzinduzi huo. Kushoto ni Mkuu wa wa Kitengo cha Huduma za Kifedha wa Tigo, Ruan Swanepoel.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI ya simu ya mkononi ya...
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/RHrwGmoxFnQ/default.jpg)
Wateja wa Tigo Pesa sasa wanaweza kutuma na kupokea pesa kutoka M-PESA ya Kenya, MTN nchini Uganda, Airtel na MTN nchini Rwanda
Huduma hii ni wazi sasa kwamba inawaunganisha wateja wa Tigo Pesa na mitandao mingine mikubwa ya mawasiliano katika ukanda wa Afrika Mashariki inayotoa huduma za kifedha kupitia simu za mkononi hatua ambayo itakuza...