Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka sasa kusaka ubingwa wa WBF Juni 6

Pambano la bondia Francis Cheka la kuwania ubingwa wa dunia unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi za Dunia (WBF), sasa litafanyika Juni 6 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Wasanii kusaka historia mpya Tuzo za Kili, Juni 13

linahWanagombea tuzo sitaNA MWANDISHI WETU
WAKATI washindi wa vipengele mbalimbali katika tuzo za Kili Tanzania Music Awards 2015 (KTMA) wakitarajiwa kujulikana Juni 13 katika hafla ya ugawaji wa tuzo hizo, hakuna msanii atakayevunja rekodi ya Abdul Nassib (Diamond) kwa kuwa hakuna aliyeko katika vipengele saba.
Tuzo hizo zilizoanza mwaka 2000 hadi leo zina rekodi iliyowekwa na Diamond ya kunyakua tuzo saba mwaka jana, mwaka huu amekutana na mchuano mkali baada ya kuingia katika vipengele sita akichuana na Ali Kiba...

 

11 years ago

Michuzi

Cosmas Cheka kupambana na Suma Ninja Juni 1, 2014 mjini Morogoro

BONDIA Cosmas Cheka anatarajia kupanda ulingoni Juni 1, 2014 kwa ajili ya kutetea taji lake la ubingwa wa TPBO anaoshikilia kwa kupambana na Suma Ninja katika ukumbi wa vijana socil hall wa Morogoro. Cheka amesema amejiandaa kupigana kawa raundi kumi hivyo mashabiki waje kuona kazi anayoifanya akiwa ulingoni bondia huoyo ambaye anatamba sambamba na kaka yake Francis Cheka ambaye alikuwa bingwa wa WBF ambao alivuliwa kizembe. Amesema yeye anataka afike mbali zaidi ya kaka yake...

 

10 years ago

Michuzi

TABATA KISIWANI WAJIANDAA NA SHEREHE ZA UBINGWA WA YANGA JUNI 16 MWAKA HUU.

Makamu Mwenyekiti waTabata Kisiwani (TBT),Brito Burure akizungumza na waandishi leo katika ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO , Jijini Dar es Salaam juu ya  Maandalizi ya Sherehe za ubingwa wa Timu ya Yanga itakayofayika Juni 16 katika Ukumbi wa Diamond Jubilee. Kulia ni Mweka hazina wa tawi hilo Lawrence Zephiline.Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti waTabata Kisiwani (TBT),Brito Burure katika ukumbi wa idara ya habari Maelezo jijini Dar es Salaam.(PICHA NA...

 

9 years ago

Mwananchi

Mashali sasa amdunda Cheka

Bingwa wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka juzi alikula vibaya sikukuu ya Krismasi baada ya kutwangwa kwa pointi na mpinzani wake, Thomas Mashali katika pambano lisilo la ubingwa la raundi 10 uzani wa kg 67 lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' ANYAKUWA UBINGWA WA U.B.O AFRICA KWA KUMTWANGA COSMAS CHEKA


Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa kugombea ubingwa wa U.B.O Africa mpambano uliofanyika jumamosi ya jana Class alinyakuwa ubingwa huo kwa kushinda kwa Point na sasa Class anashikilia mikanda miwili ya ubingwa wa Africa W.P.B.F na U.B.O Africa Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' askiwa na mikanda yake ya ubingwa wa Africa wa U.B.O na WPBFBondia Fadhili Majiha kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde...

 

11 years ago

Mwananchi

Pambano la Cheka sasa kufanyika Machi 1

Bondia Francis ‘SMG’ Cheka ameumia mkono wakati akifanya mazoezi ya kupigana na mdogo wake Cosmas hivyo kulazimika pambano lake na Valery Brudov wa Russia kusogezwa hadi Machi Mosi.

 

10 years ago

Mwananchi

Pluijm: Sasa ni ubingwa tu

Kocha wa Yanga, Hans Pluijm amesema kwa sasa anataka kushinda mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu Bara ili kutwaa ubingwa huo huku akidai mechi yao na Mgambo JKT ilikuwa ngumu ingawa walipata ushindi wa mabao 2-0 juzi kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini hapa.

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA FRANCIS CHEKA SASA KUTUMIKIA KIFUNGO CHA NJE

Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoani Mororogoro leo imetengua adhabu ya kifungo cha miaka mitatu jela kwa Bondia maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka na badala yake atatumikia kifungo cha nje na kulipa fidia ya Shilingi milioni moja.
Cheka alikuwa akikabiliwa na kosa la kumpiga na kumjeruhi Bahati Kibanda, ambaye alikuwa ni meneja wa baa yake iitwayo Vijana Social Hall iliopo mjini Morogoro.
Cheka anatumikia kifungo chake cha nje kwa kufanya kazi za serikali kwa muda wa masaa manne...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani