Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasanii kusaka historia mpya Tuzo za Kili, Juni 13

linahWanagombea tuzo sitaNA MWANDISHI WETU
WAKATI washindi wa vipengele mbalimbali katika tuzo za Kili Tanzania Music Awards 2015 (KTMA) wakitarajiwa kujulikana Juni 13 katika hafla ya ugawaji wa tuzo hizo, hakuna msanii atakayevunja rekodi ya Abdul Nassib (Diamond) kwa kuwa hakuna aliyeko katika vipengele saba.
Tuzo hizo zilizoanza mwaka 2000 hadi leo zina rekodi iliyowekwa na Diamond ya kunyakua tuzo saba mwaka jana, mwaka huu amekutana na mchuano mkali baada ya kuingia katika vipengele sita akichuana na Ali Kiba...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Cheka sasa kusaka ubingwa wa WBF Juni 6

Pambano la bondia Francis Cheka la kuwania ubingwa wa dunia unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi za Dunia (WBF), sasa litafanyika Juni 6 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Kili Music Tour 2014 yaacha historia Kigoma

Diamond na Wasafi wakitumbuiza Umati wa mashabiki ukiisubiria burudani katika uwanja wa Lake Tanganyika Backstage: Christian Bella, Nikki wa Pili na Amini Backstage: MwanaFA Backstage: Profesa Jay Mfalme wa Taarab nchini Mzee Yusuph ndiye aliufungua usiku wa Kili Music Tour Amini akiwaimbisha mashabiki moja ya nyimbo zake Mwasiti ambaye asili yake ni mkoa wa Kigoma […]

 

10 years ago

Habarileo

‘Ifikapo Juni tatizo la maji Dar litakuwa historia’

NAIBU Waziri wa Maji, Amosi Makala ametamba kuwa kufikia Juni mwaka huu tatizo la upatikanaji wa maji kwa mkoa wa Dar es Salaam litakuwa historia.

 

10 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

 

10 years ago

Bongo5

Basata walialika wasanii kuja kutoa maoni yao kuboresha tuzo za KTMA, ni wasanii wawili tu waliofika — Nikk Wa Pili

Wiki iliyopita ilifanyika tathmini ya tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) za mwaka jana, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye msimu mpya wa tuzo hizo kwa mwaka huu 2015. Kwa kawaida Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) hualika wadau mbalimbali kuhudhuria tathmini ya tuzo za mwaka uliopita kwa lengo la kuwapa nafasi ya kutoa […]

 

9 years ago

GPL

WASANII WALIVYOFUNIKA KILI MUSIC FESTIVAL

Msanii mwenye sauti laini, Ruby, akiimba moja ya vibao vyake. Fid Q akichana. Wasanii wa Bendi ya Mapacha wakitumbuiza.
Washereheshaji, Shadee na Dullah…

 

11 years ago

GPL

WANAOWANIA TUZO ZA KILI 2014

Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui Uzuri wako ya Jux, Nimevurugwa ya Snura na Tema mate tuwachape Madee.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani