Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini
SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo24 May
Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali Yaahidi Neema



10 years ago
GPL
TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA
10 years ago
Michuzi24 May
Usiku wa Tuzo za Filamu wafana jijini Dar, wengingi wapata tuzo



10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Update Kuhusu Tuzo za Filamu Tanzania 2015
Jana katika mkutano na waandishi wa habari shirikisho la filamu tanzania pamoja na wadau na waandaji wa tuzo hizo, wameonyesha furaha kubwa kwa hatua waliyofikia hadi sasa. Tuzo za filamu Tanzania chini ya shirikisho la filamu ndizo Tuzo zenye hadhi ya juu kabisa katika tasnia hii. Tuzo hizi zilizozinduliwa rasmi mwaka jana mwezi wa kumi na moja zimeonyesha mwamko mkubwa sana katika uchukuaji na urekeshaji wa fomu na hatimaye kufikia hatua hii ya kuwapata, NOMINEES.
Mchujo wa...
10 years ago
Michuzi
HATIMAYE TUZO ZA FILAMU TANZANIA 2015 MLANGONI! SI YA KUKOSA.

Ikiwa zimebaki siku chache kufikia kilele cha tuzo za filamu kwa mwaka huu ambapo Tuzo za Filamu Tanzania (TAFA) zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini Mei 23, 2015 Mwalimu Nyerere International Conference Center jijini Dar es Salaam.
Haya ni mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu nchini kwani ni kuonesha mafanikio. Ni vipengele mbalimbali vilivyopo katika kinyang’anyiro cha tuzo za filamu mwaka huu 2015. Tuzo hizo ambazo ni...
10 years ago
GPL27 May
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi25 Nov
UZINDUZI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR



11 years ago
Mwananchi17 Jun
Mashariki wazoa tuzo za riadha Kibaha
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10