Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali Yaahidi Neema
Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana.
Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0154.jpg)
TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA
10 years ago
Dewji Blog24 May
Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo
![Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_02641.jpg)
11 years ago
Michuzi20 Jun
STAMICO YAAHIDI NEEMA KWA WACHIMBAJI WADOGO NCHINI
![2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/227.jpg)
![3](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/318.jpg)
![4](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/416.jpg)
10 years ago
Bongo Movies31 Mar
Update Kuhusu Tuzo za Filamu Tanzania 2015
Jana katika mkutano na waandishi wa habari shirikisho la filamu tanzania pamoja na wadau na waandaji wa tuzo hizo, wameonyesha furaha kubwa kwa hatua waliyofikia hadi sasa. Tuzo za filamu Tanzania chini ya shirikisho la filamu ndizo Tuzo zenye hadhi ya juu kabisa katika tasnia hii. Tuzo hizi zilizozinduliwa rasmi mwaka jana mwezi wa kumi na moja zimeonyesha mwamko mkubwa sana katika uchukuaji na urekeshaji wa fomu na hatimaye kufikia hatua hii ya kuwapata, NOMINEES.
Mchujo wa...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-pHeuaAQPUlc/VVXOIz84LoI/AAAAAAAC4gk/zFT_vgbdwCo/s72-c/New%2BPicture.png)
HATIMAYE TUZO ZA FILAMU TANZANIA 2015 MLANGONI! SI YA KUKOSA.
![](http://4.bp.blogspot.com/-pHeuaAQPUlc/VVXOIz84LoI/AAAAAAAC4gk/zFT_vgbdwCo/s1600/New%2BPicture.png)
Ikiwa zimebaki siku chache kufikia kilele cha tuzo za filamu kwa mwaka huu ambapo Tuzo za Filamu Tanzania (TAFA) zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini Mei 23, 2015 Mwalimu Nyerere International Conference Center jijini Dar es Salaam.
Haya ni mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu nchini kwani ni kuonesha mafanikio. Ni vipengele mbalimbali vilivyopo katika kinyang’anyiro cha tuzo za filamu mwaka huu 2015. Tuzo hizo ambazo ni...
10 years ago
GPL27 May
10 years ago
MichuziNANI KUJINYAKULIA TUZO ZA FILAMU 2015 KESHO JUMAMOSI!
10 years ago
Bongo Movies02 Apr
Majina ya Wanaowania Tuzo za Filamu Mwaka 2015 Haya Hapa
Majina ya wanaowania tuzo hizo hayo hapo chini fuatilia na kwa makini kisha jiandae kumpigia kura msanii wako...
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Filamu ya MDUNDIKO na NETWORK, zachaguliwa kushiriki tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015 (AMVCAs)
Baada ya filamu yangu ya DOGO MASAI kushinda tuzo marekani sasa ni hii ya MDUNDIKO pamoja na NETWORK ya Kalage. Mashindano haya yanajumuisha filamu mbalimbali toka bara la Afrika. Filamu hizi zote mbili zipo katika category ya Best Indigenous Language – Swahili zikishindanishwa na filamu za Veve ya Sarika Hemi Lakhani (KENYA), Mama Duka ya Njoki Muhoho na Almasi ya Fredrick Odhiambo.