Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TUZO ZA FILAMU 2015 ZAFANA, SERIKALI YAHAIDI NEEMA

Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana. Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Tuzo za Filamu 2015 zafana, Serikali Yaahidi Neema

Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana. Mwakilishi wa Amri Athuman-King Majuto (Best Comedian Tanzania Film Awards 2015) akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo kwenye Tuzo za Filamu 2015 jana.Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015. Mama yake na Steven Kanumba akipokea tuzo ya mchango mkubwa kwenye filamu aliyotwaa mwanaye (marehemu Kanumba) kwenye tuzo za Filamu 2015.Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

 

10 years ago

Bongo Movies

Update Kuhusu Tuzo za Filamu Tanzania 2015

Jana  katika mkutano na waandishi wa habari shirikisho la filamu tanzania pamoja na wadau na waandaji wa tuzo hizo, wameonyesha furaha kubwa kwa hatua waliyofikia hadi sasa. Tuzo za filamu Tanzania chini ya shirikisho la filamu ndizo Tuzo zenye hadhi ya juu kabisa katika tasnia hii. Tuzo hizi zilizozinduliwa rasmi mwaka jana mwezi wa kumi na moja zimeonyesha mwamko mkubwa sana katika uchukuaji na urekeshaji wa fomu na hatimaye kufikia hatua hii ya kuwapata, NOMINEES.

Mchujo wa...

 

10 years ago

Michuzi

HATIMAYE TUZO ZA FILAMU TANZANIA 2015 MLANGONI! SI YA KUKOSA.

Siku 8 zimebaki kufikia kilele cha tuzo za filamu mwaka 2015.
Ikiwa zimebaki siku chache kufikia kilele cha tuzo za filamu kwa mwaka huu ambapo Tuzo za Filamu Tanzania (TAFA) zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini Mei 23, 2015 Mwalimu Nyerere International Conference Center jijini Dar es Salaam. 
Haya ni mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu nchini kwani ni kuonesha mafanikio. Ni vipengele mbalimbali vilivyopo katika kinyang’anyiro cha tuzo za filamu mwaka huu 2015. Tuzo hizo ambazo ni...

 

10 years ago

Michuzi

NANI KUJINYAKULIA TUZO ZA FILAMU 2015 KESHO JUMAMOSI!

Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba(katikati) akielezea jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao katika ofisi zake kuelezea siku ya tuzo za filamu zitakazofanyika jumamosi hii jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Bwana Ezekiel kutoka Push Mobile na kushoto kwake ni Meneja Masoko wa EATV na EAR Happy Shame. Meneja Masoko kutoka EATV na EA Radio Happy Shame(kulia)akielezea jambo kwa Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba wakati wa...

 

10 years ago

Bongo Movies

Majina ya Wanaowania Tuzo za Filamu Mwaka 2015 Haya Hapa

Waandaaji wa tuzo kubwa kufanyika za filamu Tanzania Film Awards 2015 (TAFA) yametajwa rasmi na tayari kwa kupigiwa kura baada ya namba za majina hayo kutoka katika ukumbi wa Hotel ya New Africa,  mmoja kati  ya waratibu wa tuzo hizo Teacher Issa Mbura alieleza kuwa tuzo hizo zitakuwa na vipengele kumi na mbili tu, na baadae kulingana na mahitaji vinaweza kuongezeka kwa miaka ijayo.

Majina ya wanaowania tuzo hizo hayo hapo chini fuatilia na kwa makini kisha jiandae kumpigia kura msanii wako...

 

10 years ago

Bongo Movies

Filamu ya MDUNDIKO na NETWORK, zachaguliwa kushiriki tuzo za Africa Magic Viewers’ Choice Awards 2015 (AMVCAs)

Baada ya filamu yangu ya DOGO MASAI kushinda tuzo marekani sasa ni hii ya MDUNDIKO pamoja na NETWORK ya Kalage. Mashindano haya yanajumuisha filamu mbalimbali toka bara la Afrika. Filamu hizi zote mbili zipo katika category ya Best Indigenous Language – Swahili zikishindanishwa na filamu za Veve ya Sarika Hemi Lakhani  (KENYA), Mama Duka ya Njoki Muhoho na Almasi ya Fredrick Odhiambo. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani