Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Update Kuhusu Tuzo za Filamu Tanzania 2015

Jana  katika mkutano na waandishi wa habari shirikisho la filamu tanzania pamoja na wadau na waandaji wa tuzo hizo, wameonyesha furaha kubwa kwa hatua waliyofikia hadi sasa. Tuzo za filamu Tanzania chini ya shirikisho la filamu ndizo Tuzo zenye hadhi ya juu kabisa katika tasnia hii. Tuzo hizi zilizozinduliwa rasmi mwaka jana mwezi wa kumi na moja zimeonyesha mwamko mkubwa sana katika uchukuaji na urekeshaji wa fomu na hatimaye kufikia hatua hii ya kuwapata, NOMINEES.

Mchujo wa...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Tuzo za Filamu Tanzania 2015 zafana Dar wasanii kibao wazoa tuzo

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana Mei 23, zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini SERIKALI imesema itaendelea kuweka mfumo mzuri na kujenga mazingira mazuri ili kuhakikisha biashara ya filamu inaimarika, ikiwa ni pamoja na kuwavutia wawekezaji binafsi waliopo tayari kuwekeza katika tasnia ya...

 

10 years ago

Michuzi

HATIMAYE TUZO ZA FILAMU TANZANIA 2015 MLANGONI! SI YA KUKOSA.

Siku 8 zimebaki kufikia kilele cha tuzo za filamu mwaka 2015.
Ikiwa zimebaki siku chache kufikia kilele cha tuzo za filamu kwa mwaka huu ambapo Tuzo za Filamu Tanzania (TAFA) zinafanyika kwa mara ya kwanza nchini Mei 23, 2015 Mwalimu Nyerere International Conference Center jijini Dar es Salaam. 
Haya ni mapinduzi makubwa katika tasnia ya filamu nchini kwani ni kuonesha mafanikio. Ni vipengele mbalimbali vilivyopo katika kinyang’anyiro cha tuzo za filamu mwaka huu 2015. Tuzo hizo ambazo ni...

 

10 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI YA TUZO ZA FILAMU TANZANIA YASAHURIWA KUTANGAZA TASNIA YA FILAMU KIMATAIFA

Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo (Kulia) akifungua kikao kati ya wajumbe kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo pamoja na Kamati ya maandalizi ya Tuzo za TAFA jana jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Wizara hiyo Prof. Elisante Ole Gabriel.Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za Filamu Tanzania yashauriwa kutangaza Tasnia ya Filamu kimataifa

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kushoto) akizungumza na wadau wa filamu waliofika katika Ofisi za Wizara hiyo kuwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini itakayofanyika tarehe 23 Mei mwaka huu. Kulia ni Katibu Mtendaji Bodi ya Filamu Bibi. Joyce Fisoo.Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Tuzo za TAFA Bibi. Caroline Gachara Gul (kulia) akiwasilisha taarifa ya maandalizi ya Tuzo za TAFA nchini kwa Uongozi wa Wizara ya...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Muongozaji wa filamu wa Tanzania ashinda tuzo za Marekani na kuwashangaza kwa ubora wa filamu zake

Pamoja na wengi kuamini kuwa ubora wa filamu za Tanzania ni mdogo, wapo vijana wanaofanya filamu tofauti zinazowashangaza hadi wataalam wa industry hiyo nchini Marekani. Timoth Conrad akiwa na tuzo aliyoshinda hivi karibuni nchini Marekani Mmoja wa vijana hao ni Timoth Conrad Kachumia ambaye mwezi huu alishinda tuzo kwenye tamasha la Silicon Valley African Film […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Filamu zitakazochuana Tuzo ya Filamu Tanzania zatajwa

WAANDAAJI wa shindano la Tuzo za Filamu Tanzania lililopewa jina la Action & Cut Viewers Choice Award 2013 wamezitaja filamu zitakazopigiwa kura na watazamaji kupitia kipindi cha Action & Cut...

 

10 years ago

Michuzi

NANI KUJINYAKULIA TUZO ZA FILAMU 2015 KESHO JUMAMOSI!

Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba(katikati) akielezea jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati alipokutana nao katika ofisi zake kuelezea siku ya tuzo za filamu zitakazofanyika jumamosi hii jijini Dar es Salaam, kulia kwake ni Bwana Ezekiel kutoka Push Mobile na kushoto kwake ni Meneja Masoko wa EATV na EAR Happy Shame. Meneja Masoko kutoka EATV na EA Radio Happy Shame(kulia)akielezea jambo kwa Raisi wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani