UZINDUZI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR
Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Vijana kutoka Kigamboni Community Center wakitoa burudani wakati wa hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuziuzinduzi wa kampeni kuchangia damu wafanyika leo jijini dar
10 years ago
Dewji Blog04 Mar
Uzinduzi na utambulisho wa Shirika La Save Vulnerable Foundation wafanyika jijini Dar
Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.
Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo.
Ofisa Miradi wa Shirika hilo, Rojas Rwanda (kushoto), akisalimia...
10 years ago
Michuzi24 May
Usiku wa Tuzo za Filamu wafana jijini Dar, wengingi wapata tuzo
![Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala pamoja na viongozi mbalimbali wa meza kuu kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 wakipiga picha na baadhi ya washindi wa Tuzo za Filamu 2015 jana zilizofanyika katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_02641.jpg)
![Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala akitoa shukrani baada ya kupokea tuzo aliyopewa Rais Jakaya Kikwete na Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFA) kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0251.jpg)
![Mama yake na Steven Kanumba akipeana mkono na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenela Mukangala mara baada ya kupokea tuzo ya mwanaye kwenye hafla ya Tuzo za Filamu 2015 jana.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/05/IMG_0227.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zGzSvJ4trwI/VHxzyCMRsFI/AAAAAAACvoI/PqlYRqTZiAU/s72-c/3e.jpg)
UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-zGzSvJ4trwI/VHxzyCMRsFI/AAAAAAACvoI/PqlYRqTZiAU/s1600/3e.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1mtLEbLOITY/VHxzx_7tVAI/AAAAAAACvoE/xaAQmmR50wE/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bSRvfyHJIE8/VHxzx1n-8QI/AAAAAAACvoA/JSsoOzjH2Hk/s1600/2.jpg)
10 years ago
VijimamboUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR
10 years ago
GPLUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10