uzinduzi wa kampeni kuchangia damu wafanyika leo jijini dar
Afisa Viwango na Ubora wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Ndeonasia Towo akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu salama inayoratibiwa na Diwani wa Chama cha Mapinduzi wa Kata ya Kipawa, Bonna Kaluwa (katikati) iliyozinduliwa katika Ukumbi wa Arnaotoglu na kilele chake kitakuwa Juni 22, mwaka huu kwenye viwanja vya Sitakishari Kata ya Kipawa, Dar es Salaam. Kampeni hiyo inalengo la kuchangisha damu ili kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutokana...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA AWAMU YA PILI YA WAZAZI NIPENDENI WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.
10 years ago
VijimamboUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zGzSvJ4trwI/VHxzyCMRsFI/AAAAAAACvoI/PqlYRqTZiAU/s72-c/3e.jpg)
UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-zGzSvJ4trwI/VHxzyCMRsFI/AAAAAAACvoI/PqlYRqTZiAU/s1600/3e.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1mtLEbLOITY/VHxzx_7tVAI/AAAAAAACvoE/xaAQmmR50wE/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bSRvfyHJIE8/VHxzx1n-8QI/AAAAAAACvoA/JSsoOzjH2Hk/s1600/2.jpg)
10 years ago
GPLUZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015
10 years ago
Michuzi25 Aug
Uzinduzi kampeni za kupinga ndoa za utotoni wafanyika Dar
![Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe akizungumza katika uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0092.jpg)
![Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Nsoka (kwanza kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara. Kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi nchini (UNHCR), Bi. Joyce Mendez Kole.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0121.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0092.jpg)
UZINDUZI KAMPENI ZA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI WAFANYIKA DAR
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10