Uzinduzi kampeni za kupinga ndoa za utotoni wafanyika Dar
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe akizungumza katika uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Nsoka (kwanza kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara. Kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/08/IMG_0092.jpg)
UZINDUZI KAMPENI ZA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI WAFANYIKA DAR
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-zGzSvJ4trwI/VHxzyCMRsFI/AAAAAAACvoI/PqlYRqTZiAU/s72-c/3e.jpg)
UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-zGzSvJ4trwI/VHxzyCMRsFI/AAAAAAACvoI/PqlYRqTZiAU/s1600/3e.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1mtLEbLOITY/VHxzx_7tVAI/AAAAAAACvoE/xaAQmmR50wE/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-bSRvfyHJIE8/VHxzx1n-8QI/AAAAAAACvoA/JSsoOzjH2Hk/s1600/2.jpg)
11 years ago
Michuziuzinduzi wa kampeni kuchangia damu wafanyika leo jijini dar
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA AWAMU YA PILI YA WAZAZI NIPENDENI WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
MichuziUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog25 Jul
Uzinduzi wa kampeni ya ‘Wazazi Nipendeni’ awamu ya pili wafanyika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke jijini Dar Es Salaam
Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam jana mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.
10 years ago
VijimamboUZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
11 years ago
Dewji Blog03 Jun
Uzinduzi wa duka kubwa la vitabu wafanyika Dar
Word Bank Country Director, Philippe Doncier na Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Duka kubwa la vitabu katika eneo la Mliman city jijini Dar es Salaam jana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan, akizungumza na wateja mara baada ya uzinduzi wa duka hilo la vitabu vya shule ya msingi hadi elimu ya juu lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam.
10 years ago
Michuzi25 Nov
UZINDUZI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR
![_N0A0439](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/N0A0439.jpg)
![_N0A0239](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/N0A0239.jpg)
![_N0A0270](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/11/N0A0270.jpg)
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10