Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uzinduzi wa duka kubwa la vitabu wafanyika Dar

3

Word Bank Country Director, Philippe Doncier na Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan wakikata utepe wakati wa uzinduzi wa Duka kubwa la vitabu katika eneo la Mliman city jijini Dar es Salaam jana.

2

Mkurugenzi Mtendaji wa  Duka la Vitabu la MAK, Kirubakaran Ramakrishnan, akizungumza na wateja mara baada ya uzinduzi wa duka hilo la vitabu vya shule ya msingi hadi elimu ya juu  lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam.

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Uzinduzi kampeni za kupinga ndoa za utotoni wafanyika Dar

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe akizungumza katika uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe akizungumza katika uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara.Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Nsoka (kwanza kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara. Kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi nchini (UNHCR), Bi. Joyce Mendez Kole. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Nsoka (kwanza kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara. Kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA TUZO ZA FILAMU TANZANIA WAFANYIKA JIJINI DAR

_N0A0439Naibu katibu mkuu wa Wizara ya Habari, vijana, utamaduni na michezo Prof. Elisante Ole Gabriel, akiongea neno wakati wa uzinduzi.
_N0A0239Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Simon Mwakifwamba akielezea jambo katika hafla za uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam._N0A0270 Vijana kutoka Kigamboni Community Center wakitoa burudani wakati wa hafla za  uzinduzi wa Tuzo za Filamu Tnzania zilizofanyia mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

GPL

UZINDUZI KAMPENI ZA KUPINGA NDOA ZA UTOTONI WAFANYIKA DAR‏

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe akizungumza katika uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign), zitakazo endeshwa Mkoani Mara. Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Valerie Nsoka (kwanza kulia) akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa kampeni maalumu za kitaifa za kupinga ndoa za utotoni (National Ending Child Marriage Campaign),...

 

11 years ago

Michuzi

uzinduzi wa kampeni kuchangia damu wafanyika leo jijini dar

Afisa Viwango na Ubora wa Damu Salama Kanda ya Mashariki, Ndeonasia Towo akizungumza leo wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuchangia damu salama inayoratibiwa na Diwani wa Chama cha Mapinduzi wa Kata ya Kipawa, Bonna Kaluwa (katikati) iliyozinduliwa katika Ukumbi wa Arnaotoglu na kilele chake kitakuwa Juni 22, mwaka huu kwenye viwanja vya Sitakishari Kata ya Kipawa, Dar es Salaam. Kampeni hiyo inalengo la kuchangisha damu ili kupunguza vifo vya wanawake wakati wa kujifungua kutokana...

 

10 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi na utambulisho wa Shirika La Save Vulnerable Foundation wafanyika jijini Dar

Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.

2

Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo.

Ofisa Miradi wa Shirika hilo, Rojas Rwanda (kushoto), akisalimia...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMPENI YA AWAMU YA PILI YA WAZAZI NIPENDENI WAFANYIKA DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa Kitengo cha Ubora wa Huduma za Afya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Ali Mohamed Ali (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa tamko kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Donan Mmbando katika uzinduzi wa kampeni ya awamu ya pili ya wazazi nipendeni uliofanyika Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Msaidizi Kitengo cha Afya ya Uzazi na Mtoto Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Georgina Msemo na Mshauri...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA MATEMBEZI YA MAADHIMISHO YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO WAFANYIKA LEO JIJINI DAR

  Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.    Baadhi ya Wanafunzi kutoka shule mbalimbali  wakiongozwa na Brass band yaJeshi la Polisi,wakiwa kwenye uzinduzi wa matembezi ya maadhimisho  ya siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya Wanawake na watoto yaliyofanyika katika viwanja vya Oysterbay Polisi,leo Jijin Dar.

 

10 years ago

Vijimambo

UZINDUZI NA UTAMBULISHO WA SHIRIKA LA SAVE VULNERABLE FOUNDATION WAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM LEO MACHI 3,2015

Katibu Mkuu wa Shirika la Kusaidia watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu la Save Vulnerable Foundation, Leontine Rwechungura (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana wakati wa uzinduzi na utambulisho wa shirika hilo. Kulia ni Ofisa Habari wa Shirika hilo, Eunice Mjema na Mwenyekiti, Fredy Kaula.Mwenyekiti wa Shirika hilo, Fredy Kaula (kushoto), akizungumza kwenye uzinduzi huo. Ofisa Miradi wa Shirika hilo, Rojas Rwanda (kushoto), akisalimia...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA KAMPENI YA WAZAZI NIPENDENI AWAMU YA PILI WAFANYIKA VIWANJA VYA MWEMBE YANGA TEMEKE JIJINI DAR

 Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Neema Rusibamayila kwa niaba ya Waziri wa wizara hiyo Dk. Seif Rashid  (wa pili kushoto), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa  kampeni ya Wazazi Nipendeni awamu ya pili  katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke Dar es Salaam leo mchana. Wa kwanza kushoto ni Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID), Anna Bodipo Memba na wa pili kulia ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Grace Magema.  Mwakilishi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani