Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Cheka, Mashali to celebrate Xmas in style

A tricky task awaits renowned professional boxer Francis “SMG” Cheka when he takes on Thomas Mashali in a non-title light-middleweight fight on December 25.

TheCitizen

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mashali, Cheka kuzichapa Krismasi

MABONDIA Thomas Mashali na Francis Cheka watapanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hili lisilokuwa na ubingwa litakuwa la raundi 12.

 

9 years ago

Mwananchi

Mashali sasa amdunda Cheka

Bingwa wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka juzi alikula vibaya sikukuu ya Krismasi baada ya kutwangwa kwa pointi na mpinzani wake, Thomas Mashali katika pambano lisilo la ubingwa la raundi 10 uzani wa kg 67 lililofanyika kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

9 years ago

Mtanzania

Cheka ajiandaa kumtwanga Mashali

FRANCISI-CHEKA-PIX-NO-011NA ZAINAB IDDY, DAR ES SALAAM

BONDIA wa ngumi za kulipwa Tanzania, Francis Cheka, ameingia mafichoni kujiandaa na pambano lisilo la kuwania ubingwa la raundi 12  dhidi ya Thomas Mashali lililopangwa kufanyika Desemba 25, mwaka huu katika Uwanja wa  Jamhuri, mjini Morogoro.

Akizungumza na gazeti hili jana, Cheka alisema  kwa kuwa Mashali ameanza kumtangazia vita hadharani ameamua kuanza maandalizi mapema ili aweze kumpiga katika raundi za mwanzo.

Cheka alisema amepania kuweka historia mpya ...

 

9 years ago

Michuzi

MABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO


Promota Kaike Silaju katikati akiwainuwa mikoni juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakionesha mikataba yao baada ya kusaini kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

THOMAS MASHALI AMSHINDA FRANCIS CHEKA KWA POINTI KWENYE MPAMBANO WAO MJINI MOROGORO

 Bondia Thomas Mashali (kushoto)  akioneshana umwamba na Francis  Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi Bondia Thomas Mashali akikwepa konde la  Francis  Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi. Picha na...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

10 years ago

TheCitizen

THE PUB: Xmas’ here, ask not where Muya’s going

>You know what, good readers? The year 2014 is on its last legs and, oh, you feel bad! But hang on; the year-end thing and mourning over what you ought to have done and you haven’t will be the subject for another day, assuming you’ll survive the festivities.

 

10 years ago

Michuzi

9 years ago

TheCitizen

Police on alert ahead of Maulid, Xmas

Police here have heightened security at places of worship ahead of Maulid and Christmas celebrations.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani