Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA KESHO MEI 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Mei 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .PICHA NA SUPER D BOXING NEWSMabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .HABARI ZAIDI INGIA HAPA

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuliBONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU...

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA CHEKA KUPANDA ULINGONI MEI 30 P.T.A SABASABA

BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha . kutoka 
Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,

akizungumza matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii

 mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za...

 

9 years ago

Michuzi

MABONDIA THOMAS MASHALI NA FRANSIC CHEKA WASAINI KUZIDUNDA DESEMBA 25 JAMUHURI MOROGORO


Promota Kaike Silaju katikati akiwainuwa mikoni juu mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Thomas Mashali kushoto na Fransic Cheka wakionesha mikataba yao baada ya kusaini kuzipiga desemba 25 katika uwanja wa jamuhuri Morogoro Picha na SUPER D BOXING NEWS

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

9 years ago

Michuzi

cheka kuzipiga uingereza Sept 19

Na Mwandishi wetu
Bondia nyota nchini wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapigana na bondia wa Uingereza, Martin Murray katika pambano maalum lisilo la ubingwa la uzito wa Super Middle.
Pambano hilo limepangwa kufanyika mjini Manchester Septemba 19 na maandalizi yake yamekwisha kamilika.Meneja mpya wa bondai huyo, Juma Ndambile alisema kuwa Cheka ataondoka hapa nchini Septemba 15 kwenda Uingereza kwa ajili ya pambano hilo la raundi 10.
Ndambile ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni...

 

11 years ago

Mwananchi

Cheka agoma kuzipiga na Mrusi

Bingwa wa Dunia wa WBF wa uzani wa Super Middle, Francis “SMG” Cheka amegomea pambano lake la Desemba 21 na kudai hawezi kupigana.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA ZUMBA KUKWE KUZIPIGA NA SWEET KALULU KIBAHA

Sweet kaluluZumba Kukwe
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini mwenye machachali mengi na ngumi nzito awapo ulingoni Zumba Kukwe “chenji dola” anatarajia kupanda ulingoni alhamis ya tarehe 27/11/2014 kuzipiga na bondia mkongwe Sweet kalulu katika ukumbi wa kontena uliopo kibaha maili moja, Watacheza pambano la raundi nane, lisilo la ubingwa ila mshindi kati ya sweet kalulu na zumba kukwe atacheza na mshindi kati ya Thomas Mashali na dula mbabe katika pambano la ubingwa, mashali na dula wao...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUARI MOSSI,JIJINI DAR

Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akitia saini ya mkataba wa makubaliano ya kuzipiga na Bondia Abbdallah Pazi (kulia) mbele ya promota Kassim Texas (katikati) mpambano utakaofanyika januari mosi katika ukumbi wa friends corner,Manzese jijini Dar es salaam.Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya makubaliano yao ya kuzipiga katika mpambano wao,utakaofanyika Januari Mosi 2015 katika ukumbi wa Friends Corner,Manzese jijini Dar es salaam.Picha na SUPER D...

 

10 years ago

Vijimambo

MADA MAUGO NA KALAMA NYILAWILA WASAIDI KUZIPIGA MARCH 8 P.T.A SABASABA

Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika March 8 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini Antoni Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo na Kalama Nyilawila wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika march 8 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani