Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


cheka kuzipiga uingereza Sept 19

Na Mwandishi wetu
Bondia nyota nchini wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka atapigana na bondia wa Uingereza, Martin Murray katika pambano maalum lisilo la ubingwa la uzito wa Super Middle.
Pambano hilo limepangwa kufanyika mjini Manchester Septemba 19 na maandalizi yake yamekwisha kamilika.Meneja mpya wa bondai huyo, Juma Ndambile alisema kuwa Cheka ataondoka hapa nchini Septemba 15 kwenda Uingereza kwa ajili ya pambano hilo la raundi 10.
Ndambile ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Cheka agoma kuzipiga na Mrusi

Bingwa wa Dunia wa WBF wa uzani wa Super Middle, Francis “SMG” Cheka amegomea pambano lake la Desemba 21 na kudai hawezi kupigana.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuliBONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA KESHO MEI 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa Mei 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .PICHA NA SUPER D BOXING NEWSMabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba .HABARI ZAIDI INGIA HAPA

 

9 years ago

Michuzi

CHEKA ULINGONI UINGEREZA NOVEMBA 7

Na Mwandishi wetuBONDIA wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka atapanda ulingoni mjini Manchester Uingereza Novemba 7 kupambana katika pambano lisilokuwa la ubingwa.
Akizungumza kwa njia ya simu jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Advance Security Limited, Juma Ndambile amesema kuwa Cheka anatarajia kuondoka wiki ijayo kwa ajili ya pambano hilo.Ndambile ambaye ni meneja wa Cheka, alisema kuwa tayari msaidizi wake, Rashid Nassoro yupo nchini Uingereza akiwa na mabondia wengine wawili huku...

 

10 years ago

Vijimambo

21.12.2013 - Fedor Chudinov vs Francis Cheka huyu ndiyo Cheka aliefungwa miaka 3 magereza


BONDIA maarufu nchini wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka amehukumiwa kifungo cha miaka 3 jela na kutakiwa kulipa fidia ya Sh. millioni 1 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi meneja wa baa yake (Cheka) iitwayo Vijana Social iliyopo Morogoro Mjini.Akimsomea mashitaka, Hakimu wa Mahakama ya Mkoa wa Morogoro, Said Msuya alisema Cheka alikutwa na hatia ya kumpiga aliyekuwa meneja wa baa yake aitwaye Bahati Kabanda 'Masika'.
Alisema kuwa Cheka alitenda kosa hilo Julai 2, mwaka jana ambapo meneja huyo...

 

11 years ago

Mwananchi

Miyeyesho kuzipiga na Mkenya

Bondia wa Tanzania, Francis Miyeyusho atapanda ulingoni Desemba 31 kumkabili David Chalanga wa Kenya.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho kuzipiga na Mkenya

BONDIA Francis Miyeyusho, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kushuhudia pambano lake dhidi ya Mkenya, David Chalanga, litakalofanyika Ukumbi wa Msasani Club jijini Dar es Salaam, Desemba 31. Mabondia hao wanaotamba...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mabondia kuzipiga Christimass

Mabondia Francis cheka na Thomas Mashali ,leo watakuwa katika pambano la maadhimisho ya siku kuu ya Krismass

 

11 years ago

Mwananchi

Wabunge wa Tanzania wadaiwa kuzipiga Malaysia

>Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanadaiwa kupigana huko Malaysia baada ya kukutana hotelini, wakati wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), walipokuwa katika ziara ya kikazi nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani