BONDIA CHEKA KUPANDA ULINGONI MEI 30 P.T.A SABASABA
BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha . kutoka
Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,akizungumza matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii
mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA KESHO MEI 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA
9 years ago
Habarileo11 Nov
Bondia Tamba kupanda ulingoni Nov 22
BONDIA Ibrahimu Tamba anatarajia kupanda ulingoni Novemba 22 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es Salaam kupambana na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya.
9 years ago
MichuziCHEKA KUPANDA ULINGONI FEB, 23 DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboBONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA LEO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-AWtUtwI_-Es/U3t7GuRfUwI/AAAAAAAFj2w/3aP-TrYA4i8/s72-c/unnamed+(4).jpg)
CHOKORAA KUPANDA ULINGONI MAY 24
![](http://4.bp.blogspot.com/-AWtUtwI_-Es/U3t7GuRfUwI/AAAAAAAFj2w/3aP-TrYA4i8/s1600/unnamed+(4).jpg)
Chokoraa alisema muda mrefu amekuwa akifanya mazoezi ya kujenga mwili na ya ngumi kwa muda mrefu na amekuwa akipigana na mabondia tofautitofauti mazoezini na kuona uwezo wao ni wa kawaida, hivyo anataka kuwaonesha kama ana kipaji kingine zaidi...
10 years ago
BBCSwahili05 Aug
Mayweather kupanda ulingoni septemba
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-G8LL_rdhOXo/VjNkOYXQADI/AAAAAAAIDgA/W_eD5h9fGNM/s72-c/index.jpg)
CHEKA ULINGONI UINGEREZA NOVEMBA 7
![](http://4.bp.blogspot.com/-G8LL_rdhOXo/VjNkOYXQADI/AAAAAAAIDgA/W_eD5h9fGNM/s1600/index.jpg)
Akizungumza kwa njia ya simu jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Advance Security Limited, Juma Ndambile amesema kuwa Cheka anatarajia kuondoka wiki ijayo kwa ajili ya pambano hilo.Ndambile ambaye ni meneja wa Cheka, alisema kuwa tayari msaidizi wake, Rashid Nassoro yupo nchini Uingereza akiwa na mabondia wengine wawili huku...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-E_LAo0He4p0/VAlGtKOqrqI/AAAAAAAGebY/i4pCKd5I_AY/s72-c/unnamed.jpg)
BONDIA MAARUFU WA KIKE BINTOU YAWA SCHMILL ULINGONI 26.9.2014 FRANFURT,UJERUMANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-E_LAo0He4p0/VAlGtKOqrqI/AAAAAAAGebY/i4pCKd5I_AY/s1600/unnamed.jpg)
Bondia Bintou Yawa Schmill aka "The Voice" mzaliwa wa Togo ambaye anapigia uzito wa Welterweight -64 Kg, urefu mita 1.71 historia yake hapo mwanzo alikuwa bondia wa ngumi za ridhaa kwa muda miaka mitano,kuanzia mwaka 2007 alianza kuingia katika...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/iRGkQSu08cvRBHCBlazKWefwWuasj-avtjeyaf3iZBD85JNfy*O1UCYviUpdQgtB14I7pjomd5hRYkdjXriruL9gDyerMOcE/FemaleBoxerBintouYawaSchmill.jpg?width=650)
BONDIA MAARUFU WA KIKE BINTOU YAWA SCHMILL ULINGONI 26.9.2014 FRANFURT, UJERUMANI