Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHOKORAA KUPANDA ULINGONI MAY 24

Mwanamuziki na kiongozi wa bendi ya Mapacha watatu Kahalid chokoraa anategemea kupanda ulingoni jumamosi ya tarehe 24 katika ukumbi wa friends corner kuzipiga na bondia chipukizi mwenye uchu wa ushindi muda wote awpo ulingoni Abdul manyenza. 
Chokoraa alisema muda mrefu amekuwa akifanya mazoezi ya kujenga mwili na ya ngumi kwa muda mrefu na amekuwa akipigana na mabondia tofautitofauti mazoezini na kuona uwezo wao ni wa kawaida, hivyo anataka kuwaonesha kama ana kipaji kingine zaidi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather kupanda ulingoni septemba

Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto

 

9 years ago

Habarileo

Bondia Tamba kupanda ulingoni Nov 22

BONDIA Ibrahimu Tamba anatarajia kupanda ulingoni Novemba 22 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es Salaam kupambana na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA CHEKA KUPANDA ULINGONI MEI 30 P.T.A SABASABA

BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha . kutoka 
Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,

akizungumza matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii

 mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za...

 

9 years ago

Michuzi

CHEKA KUPANDA ULINGONI FEB, 23 DAR ES SALAAM


Promota Juma Msangi kushoto akiwa na Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah ‘Ustadhi’ pamoja na Meneja msaidizi wa bondia  Fransic Cheka  wakitambulisha mpambano wa bondia Cheka mbele ya waandishi wa habari mpambano utakaofanyika Feb 27 katika uwanja wa Leaders Club .  Promota Juma Msangi kushoto akiwa na Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah ‘Ustaadhi’ pamoja na Meneja msaidizi wa bondia  Fransic Cheka  wakitambulisha...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miguu ya ‘chokoraa’ ilivyogeuka dhahabu

PAMOJA na kuitwa jina lenye ukakasi kulitamka kwamba ni timu ya Watoto wa Mitaani ama ‘Chokoraa’, leo hii vijana hao kutokea Jiji la Mwanza, ndio mabingwa wa dunia. Ni ubingwa...

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Khalid Chokoraa Ft. T.I.D — Chaguo Langu

Wimbo mpya kutoka kwa Member wa Band ya Mapacha Watatu Khalid Chokoraa akimshirikisha TID wimbo unaitwa “Chaguo Langu” Studio Big Time Production Producer Said Comorien

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA KHALID CHOKORAA AJIANDAA NA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8

Bondia Khalid Chokoraa (kushoto), ambaye pia ni mwanamuziki wa bendi ya  Mapacha watatu  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rashidi Juma wakati wa mazoezi katika kambi yake iliyoko  Mwananyamala jijini Dar es salaam akijiandaa kupambana na  Said Memba katika mpambano wao utakaofanyika Agosti Nane wakati wa siku ya tamasha la matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Bondia Khalid Chokoraa akipiga begi wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake Bondia Khalid Chokoraa ...

 

9 years ago

Michuzi

CHEKA ULINGONI UINGEREZA NOVEMBA 7

Na Mwandishi wetuBONDIA wa ngumi za kulipwa, Francis Cheka atapanda ulingoni mjini Manchester Uingereza Novemba 7 kupambana katika pambano lisilokuwa la ubingwa.
Akizungumza kwa njia ya simu jana, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Advance Security Limited, Juma Ndambile amesema kuwa Cheka anatarajia kuondoka wiki ijayo kwa ajili ya pambano hilo.Ndambile ambaye ni meneja wa Cheka, alisema kuwa tayari msaidizi wake, Rashid Nassoro yupo nchini Uingereza akiwa na mabondia wengine wawili huku...

 

11 years ago

Mwananchi

Magia, Kiwale ulingoni Juni 7

Bondia Fadhil Magia anatarajiwa kupanda ulingoni kukabiliana na Hassan Kiwale katika pambano lisilo la ubingwa la raundi nane uzito wa Super fly, linalotarajiwa kufanyika katika Ukumbi wa Friends Corner, jijini Dar es Salaam Juni 7 mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani