Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bondia Tamba kupanda ulingoni Nov 22

BONDIA Ibrahimu Tamba anatarajia kupanda ulingoni Novemba 22 katika ukumbi wa Friends Corner Manzese Dar es Salaam kupambana na bondia Baraka Mwakansope kutoka Mbeya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

BONDIA CHEKA KUPANDA ULINGONI MEI 30 P.T.A SABASABA

BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha . kutoka 
Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,

akizungumza matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii

 mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za...

 

11 years ago

Michuzi

CHOKORAA KUPANDA ULINGONI MAY 24

Mwanamuziki na kiongozi wa bendi ya Mapacha watatu Kahalid chokoraa anategemea kupanda ulingoni jumamosi ya tarehe 24 katika ukumbi wa friends corner kuzipiga na bondia chipukizi mwenye uchu wa ushindi muda wote awpo ulingoni Abdul manyenza. 
Chokoraa alisema muda mrefu amekuwa akifanya mazoezi ya kujenga mwili na ya ngumi kwa muda mrefu na amekuwa akipigana na mabondia tofautitofauti mazoezini na kuona uwezo wao ni wa kawaida, hivyo anataka kuwaonesha kama ana kipaji kingine zaidi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mayweather kupanda ulingoni septemba

Bondia Floyd Maywether atapanda tena ulingoni mwezi Septemba 12 mwaka huu kuzipiga na Andre Berto

 

9 years ago

Michuzi

CHEKA KUPANDA ULINGONI FEB, 23 DAR ES SALAAM


Promota Juma Msangi kushoto akiwa na Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah ‘Ustadhi’ pamoja na Meneja msaidizi wa bondia  Fransic Cheka  wakitambulisha mpambano wa bondia Cheka mbele ya waandishi wa habari mpambano utakaofanyika Feb 27 katika uwanja wa Leaders Club .  Promota Juma Msangi kushoto akiwa na Rais wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah ‘Ustaadhi’ pamoja na Meneja msaidizi wa bondia  Fransic Cheka  wakitambulisha...

 

10 years ago

GPL

BONDIA MAARUFU WA KIKE BINTOU YAWA SCHMILL ULINGONI 26.9.2014 FRANFURT, UJERUMANI

Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya, Bintou Yawa Schmill 'The Voice'. Bintou Yawa Schmill 'The Voice' akifanya mazoezi.…

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MAARUFU WA KIKE BINTOU YAWA SCHMILL ULINGONI 26.9.2014 FRANFURT,UJERUMANI

Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill aka "The Voice" anatarajiwa kupanda ulingoni tarehe 26 September 2014, atapambana na bondia  Mirjana Vujic katika ukumbi wa Stadthalle/ Saalbau Frankfurt-Nied, Mjini Frankfurt ujerumani.
Bondia Bintou Yawa Schmill aka "The Voice" mzaliwa wa Togo ambaye anapigia uzito wa Welterweight -64 Kg, urefu mita 1.71  historia yake hapo mwanzo alikuwa bondia wa ngumi za ridhaa kwa muda miaka mitano,kuanzia mwaka 2007 alianza kuingia katika...

 

5 years ago

BBCSwahili

Deontay Wilder: Bondia wa Marekani alaumu vazi aliloingia nalo ulingoni kama sababu ya kushindwa na Tyson Fury

Bondia wa Marekani Deontay Wilder amelaumu vazi alilovaa na kuingilia nalo ndani ya ulingo wa ndondi kama sababu iliomfanya kupoteza taji lake la WBC katika uzani mzito zaidi duniani kwa Muingereza Tyson Fury.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ LIVE NDANI YA WASHINGTON DMV / SHEREHE ZA UHURU DEC6 / NUNUA TICKET KABLA YA NOV 10 KWA $ 75 TU BAADA YA NOV 10 BEI ITAKUWA $ 100.

   
                                                  3 COURSE DINNER  &  LIVE SHOW
                                                                 FREE PARKING
                            TICKET  ZINAUZWA ONLINE TU.....BOFYA  HAPO CHINI
                                   WWW.DIAMONDUSATOUR.COM


                                 ...

 

10 years ago

Michuzi

BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA

Mwamuzi wa Mpambano wa Masumbwi uliowakutanisha mabondia Mohamed Matumla (Tanzania) na Wang Xin Hua (China) katika Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam usiku huu,akiwa amemnyanyua mkono Bondia Mohamed Matumla baada ya kumchapa kwa Point bondia mwenzake kutoka nchini China katika mpambano wa raundi 10 wa kuwania nafasi ya kucheza katika pambano la utangulizi kwenye mpambano mkali na unaosubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa masumbwi Duniani kati ya mabondia Floyd Mayweather, Jr. na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani