Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BONDIA KHALID CHOKORAA AJIANDAA NA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8

Bondia Khalid Chokoraa (kushoto), ambaye pia ni mwanamuziki wa bendi ya  Mapacha watatu  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rashidi Juma wakati wa mazoezi katika kambi yake iliyoko  Mwananyamala jijini Dar es salaam akijiandaa kupambana na  Said Memba katika mpambano wao utakaofanyika Agosti Nane wakati wa siku ya tamasha la matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Bondia Khalid Chokoraa akipiga begi wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake Bondia Khalid Chokoraa ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Khalid Chokoraa Ft. T.I.D — Chaguo Langu

Wimbo mpya kutoka kwa Member wa Band ya Mapacha Watatu Khalid Chokoraa akimshirikisha TID wimbo unaitwa “Chaguo Langu” Studio Big Time Production Producer Said Comorien

 

11 years ago

GPL

MASHALI, MAUGO WATAMBIANA KUELEKEA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8, 2014

“Mabondia Thomas Mashali na Mada Maugo kila mtu anajua upinzani wao ulivyo, kila mmoja anataka kuthibitisha kuwa yeye ni bora. Mada Maugo na Thomas Mashali, kila mmoja amejitapa kumchakaza mwenzake katika pambano hilo . “Lakini kabla ya hapo kutakuwa na mapambano ya utangulizi ambapo staa wa Bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokoraa atapigana na Said Memba, Mbunge wa Nzega, Dokta Hamisi Kigwangala akichapana na...

 

11 years ago

GPL

YALIYOJIRI TAMASHA LA MATUMAINI 2013, MWAKA HUU NI AGOSTI 8 TAIFA

Rais Jakaya Kikwete aliongoza Tamasha la Matumaini 2013 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mwaka huu ni Agosti 8 ndani ya Uwanja wa Taifa kama kawa jiji la Dar litazizima kwa burudani kabambe ambazo si za…

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 MASHALI, MAUGO KUMALIZA UBISHI AGOSTI

Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’, wakitunishiana misuli. Na Nassor Gallu SIKU zinazidi kukatika huku maandalizi yakipamba moto kuelekea katika tamasha babkubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, Agosti 8, mwaka huu. Katika tamasha… ...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA

Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…

 

11 years ago

GPL

USIKU WA MATUMAINI; TAMASHA NAMBA MOJA TANZANIA

Mwaka 2012, Tamasha la Usiku wa Matumaini (Night of Hope), lilikuwa kubwa sana, 2013 likatisha zaidi kutokana na muundo mzima wa burudani, jumlisha na historia iliyoandikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Staa wa Bongo Movie, Irine Uwoya Dk. Kikwete alikuwa mgeni rasmi, alizungumza na umati mkubwa uliohudhuria lakini hakuishia hapo, aliandika historia pale alipokagua wachezaji wa timu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani