WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL03 Aug
MASHALI, MAUGO WATAMBIANA KUELEKEA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8, 2014
“Mabondia Thomas Mashali na Mada Maugo kila mtu anajua upinzani wao ulivyo, kila mmoja anataka kuthibitisha kuwa yeye ni bora. Mada Maugo na Thomas Mashali, kila mmoja amejitapa kumchakaza mwenzake katika pambano hilo .
“Lakini kabla ya hapo kutakuwa na mapambano ya utangulizi ambapo staa wa Bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokoraa atapigana na Said Memba, Mbunge wa Nzega, Dokta Hamisi Kigwangala akichapana na...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA
Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...
11 years ago
GPL
11 years ago
GPL
USIKU WA MATUMAINI; TAMASHA NAMBA MOJA TANZANIA
Mwaka 2012, Tamasha la Usiku wa Matumaini (Night of Hope), lilikuwa kubwa sana, 2013 likatisha zaidi kutokana na muundo mzima wa burudani, jumlisha na historia iliyoandikwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Staa wa Bongo Movie, Irine Uwoya Dk. Kikwete alikuwa mgeni rasmi, alizungumza na umati mkubwa uliohudhuria lakini hakuishia hapo, aliandika historia pale alipokagua wachezaji wa timu za...
11 years ago
GPL
TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014: NOMA SANAAA
Mpango mzima utakuwa ni Agosti, mwaka huu wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakapochukua nafasi akatika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mastaa kibao wakiwemo Ali Kiba, staa wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, Juma Nature, Madee, R.O.M.A Mkatoliki, Wanaume halisi na wengineo kibao wataporomosha burudani za kufa mtu siku hiyo. Tamasha hili si la… ...
11 years ago
GPL
11 years ago
Dewji Blog21 Jul
11 years ago
GPL
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
07-May-2025 in Tanzania