Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 KATIKA PICHA


Find more photos like this on Global…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014 NI VITA

Umewahi kujiuliza nini kitatokea endapo waheshimiwa wabunge, Hamis Kigwangala wa Nzega na Mwigulu Nchemba wa Iramba Magharibi wakiziweka suti zao pembeni na kupanda ulingoni, nani atamkalisha mwenzake? Itakuwa vita! D.k Hamis Kigwangala mbunge wa Nzega. Basi hicho ndicho kitakachotokea kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalotimua vumbi Agosti 8, 2014 (Nane Nane) kwenye Uwanja wa Taifa ambapo waheshimiwa hao watanyukana...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014: NOMA SANAAA

Mpango mzima utakuwa ni Agosti, mwaka huu wakati Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 litakapochukua nafasi akatika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo mastaa kibao wakiwemo Ali Kiba, staa wa songi la Johnny, Yemi Alade kutoka Nigeria, Juma Nature, Madee, R.O.M.A Mkatoliki, Wanaume halisi na wengineo kibao wataporomosha burudani za kufa mtu siku hiyo. Tamasha hili si la… ...

 

11 years ago

GPL

ROMA MKATOLIKI AFUNIKA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Roma Mkatoliki akiwarusha vilivyo wapenzi wa burudani waliofurika katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo. Roma Mkatoliki akiongea na mashabiki wake.…

 

11 years ago

GPL

MAKAMUZI YA SHILOLE NDANI YA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI 2014

Mwanadada mwigizaji na mwanamuziki Zuwena Mohamed 'Shilole' akicheza kwa kujiachia katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 usiku wa kuamkia leo. Zuwena Mohamed 'Shilole' akiongea na mashabiki wake.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani