Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHALI, MAUGO WATAMBIANA KUELEKEA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8, 2014

“Mabondia Thomas Mashali na Mada Maugo kila mtu anajua upinzani wao ulivyo, kila mmoja anataka kuthibitisha kuwa yeye ni bora. Mada Maugo na Thomas Mashali, kila mmoja amejitapa kumchakaza mwenzake katika pambano hilo . “Lakini kabla ya hapo kutakuwa na mapambano ya utangulizi ambapo staa wa Bendi ya Mapacha Watatu, Khalid Chokoraa atapigana na Said Memba, Mbunge wa Nzega, Dokta Hamisi Kigwangala akichapana na...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TAMASHA LA MATUMAINI 2014 MASHALI, MAUGO KUMALIZA UBISHI AGOSTI

Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’, wakitunishiana misuli. Na Nassor Gallu SIKU zinazidi kukatika huku maandalizi yakipamba moto kuelekea katika tamasha babkubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, Agosti 8, mwaka huu. Katika tamasha… ...

 

11 years ago

GPL

MASHALI, MAUGO USO KWA USO TAMASHA LA MATUMAINI

Mada Maugo (Kulia) akisaini mkataba huku Rais wa TPBO Yassin Abdallah akimwangalia kwa makini.
Thomas Mashali (Kulia) naye akisaini mkataba.
Mabondia Mada Maugo (Kushoto) na Thomas Mashali wakitunishiana…

 

11 years ago

GPL

WASHIRIKI WA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI WATAMBIANA

Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo (katikati), ambaye kampuni yake inaandaa tamasha hilo, akizungumza kwenye mkutano huo. Mkutano ukiendelea.…

 

11 years ago

Michuzi

BONDIA KHALID CHOKORAA AJIANDAA NA TAMASHA LA USIKU WA MATUMAINI AGOSTI 8

Bondia Khalid Chokoraa (kushoto), ambaye pia ni mwanamuziki wa bendi ya  Mapacha watatu  akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Rashidi Juma wakati wa mazoezi katika kambi yake iliyoko  Mwananyamala jijini Dar es salaam akijiandaa kupambana na  Said Memba katika mpambano wao utakaofanyika Agosti Nane wakati wa siku ya tamasha la matumaini Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Bondia Khalid Chokoraa akipiga begi wakati wa maandalizi ya kujiandaa na mchezo wake Bondia Khalid Chokoraa ...

 

11 years ago

TheCitizen

Maugo silences Mashali in Dar

Veteran boxer Mada Maugo walked into the ring on Friday at the National Stadium as the underdog in his rematch with Thomas Mashali. He walked out the winner.

 

11 years ago

GPL

MADA MAUGO AMDUNDA THOMAS MASHALI

BONDIA Mada Maugo amemshushia kichapo bondia Thomas Mashali katika mpambano wao kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar. Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikabiliana na Mada Maugo kwenye Tamasha la Matumaini 2014.…

 

11 years ago

TheCitizen

Big fight: Mashali and Maugo renew rivalry

Tanzania’s boxing sensations Thomas Mashali and Maga Maugo will go glove-to-glove vying for the Night of Hope Festival middleweight title at the National Stadium on August 8.

 

11 years ago

Michuzi

MADA MAUGO ALIPA KISASI CHA KUPIGWA NA THOMASI MASHALI

Bondia Thomasi Mashali (kushoto) akionyeshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana.Maugo alishinda kwa point mpambano huo.Bondia Thomas Mashali (kulia) akimrushia konde la mkono wa kushoto bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.Maugo alishinda kwa point mpambano huo.Mabondia Mada Maugo (kushoto) na Thomas Mashali wakipambana ulingoni.Bondia Said Memba (kushoto)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani