MASHALI, MAUGO USO KWA USO TAMASHA LA MATUMAINI

Mada Maugo (Kulia) akisaini mkataba huku Rais wa TPBO Yassin Abdallah akimwangalia kwa makini. Thomas Mashali (Kulia) naye akisaini mkataba. Mabondia Mada Maugo (Kushoto) na Thomas Mashali wakitunishiana…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
TAMASHA LA MATUMAINI 2014 MASHALI, MAUGO KUMALIZA UBISHI AGOSTI
Mabondia Mada Maugo na Thomas Mashali ‘Simba Asiyefugika’, wakitunishiana misuli. Na Nassor Gallu SIKU zinazidi kukatika huku maandalizi yakipamba moto kuelekea katika tamasha babkubwa linalojulikana kama Usiku wa Matumaini 2014 (Night of Hope) linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, Agosti 8, mwaka huu. Katika tamasha… ...
11 years ago
Michuzi
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo


11 years ago
Michuzi
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

.jpg)
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA), ambaye pia ni mmiliki wa magazeti ya Jambo Leo na Staa Spoti, Juma Pinto wakati wa hafla ya maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Ikulu, Dar es Salaam juzi. (PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)…
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania