Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KALAMA NYILAWILA ASAINI MKATABA WA KUCHEZA NA BINGWA KATI YA MASHALI AU KASEBA MEI MOSI

Bondia Kalama Nyilawila katikati akitia saini ya kucheza pambano siku ya mei mosi atacheza na Thomasi Mashali au Japhert Kaseba inategemea na mshindi wa mechi hiyo ya March 29 itakayofanyika PTA Sabasaba kulia ni Alli Mwazoa na Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ustaadhi' 
Promota wa ngumi nchini Ali Mwazoa akipeana mkono na Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ustaadhi baada ya kumsainisha bondia Kalama Nyilawila katikati anaetarajia kuzipiga Mei Mosi.
Bondia Kalama Nyilawila ameingia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Bondia Zumba Kukwe ataka kuzichapa na Thomas Mashali au Kalama Nyilawila

Mabondia Sweet Kalulu wa Dar es Salaam kushoto na Zumba Kukwe kulia na katikati ni mwandaaji wa pambano hilo George Nyasalu akishuhudia mabondia hao baada ya kupima uzito na afya jana.
Na John Gagarini, Kibaha
BONDIA Zumba Kukwe wa Maili Moja wilayani Kibaha Mkoani Pwani ambaye leo anapambana na bondia Sweet Kalulu amesema kuwa lengo lake kubwa ni kupambana na Thomas Mashali au Kalama Nyilawila.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Kibaha wakati wakipima uzito na kupima afya kwenye...

 

11 years ago

Mwananchi

Kalama ajipanga Mei Mosi

Bondia Kalama Nyilawila amesaini mkataba kwa ajili ya kupanda ulingoni Mei Mosi kumkabili mshindi baina ya Thomas Mashali na Japhet Kaseba.

 

10 years ago

Vijimambo

BONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUAR MOSI 2015 FRENDS CORNER

Bondia Thomasi Mashali kushoto akitia saini ya kupigana na Abbdallah Pazi kulia baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika january mosi katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam Bondia Abbdallah Pazi kulia akitia saini ya kupigana na Thomasi Mashalikushoto baada ya makubaliano na promota Kassim Texas katikati mpambano utakaofanyika january mosi katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaamBondia Thomasi Mashali kushoto akitunishiana misuli...

 

10 years ago

Dewji Blog

Profesa Sospeter Muhongo asaini mkataba wa mradi wa kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya

unnamed27

Mawaziri wanaoshughulikia Nishati kutoka nchi za Zambia, Tanzania na Kenya wakisaini Mkataba wa Makubaliano kuonesha dhamira ya Serikali ya nchi hizo kujenga miundombinu ya pamoja ya kusafirisha umeme na kufanya biashara ya kuuziana umeme wa ziada baina ya nchi hizo.

Na Anitha Jonas, Maelezo-DSM.

WAZIRI wa Nishati na Madini, Mhe. Profesa Sospeter Muhongo jana ametia saini Mkataba wa Mradi kujenga Miundombinu ya kuuziana umeme kati ya Zambia, Tanzania na Kenya (ZTK) katika Mkutano  wa Kumi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mashali amzima Kaseba

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Thomas Mashali ‘Simba asiyefugika’, juzi alifanikiwa kutwaa ubingwa wa UBO Afrika baada ya kumshinda kwa pointi 97-93 Japhet Kaseba ‘Champion’. Licha ya Mashali kushinda...

 

11 years ago

GPL

KALAMA NYILAWILA KUMVAA IBRAHIMU MAOKOLA DESEMBA 31 MSASANI KLABU

Kalama Nyilawila akijifua tayari kwa kumkabili Ibrahimu Maokola Desemba 31 mwaka huu katika Ukumbi wa Msasani Klabu, jijini Dar. Msimamizi wa mchezo wa ngumi katika kambi iliyopo Sinza-Makaburini, Dar Bernald Lumbila (kushoto) akimwelekeza bondia Kalama Nyilawila jinsi…

 

10 years ago

Vijimambo

MADA MAUGO NA KALAMA NYILAWILA WASAIDI KUZIPIGA MARCH 8 P.T.A SABASABA

Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika March 8 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Katibu mkuu wa chama cha ngumi za kulipwa nchini Antoni Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Mada Maugo na Kalama Nyilawila wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika march 8 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Mabondia Mada Maugo kushoto na Kalama Nyilawila wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao...

 

11 years ago

GPL

KASEBA, MASHALI KUZIPIGA MACHI 29 MWAKA HUU

Viongozi wa ngumi na mabondia Thomas Mashali na Japhet Kaseba wakitambulisha mpambano huo.…

 

11 years ago

TheCitizen

Kaseba, Mashali face moment of truth in UBO bout

Tanzania’s professional boxing scene, once again, has had an opportunity to wallow in the limelight as renowned super middleweight boxers, Japhet Kaseba and Thomas Mashali, are expected to clash in a Universal Boxing Organisation (UBO)-sanctioned International Light Heavyweight title bout in the division on March 29.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani