Bondia Zumba Kukwe ataka kuzichapa na Thomas Mashali au Kalama Nyilawila
Mabondia Sweet Kalulu wa Dar es Salaam kushoto na Zumba Kukwe kulia na katikati ni mwandaaji wa pambano hilo George Nyasalu akishuhudia mabondia hao baada ya kupima uzito na afya jana.
Na John Gagarini, Kibaha
BONDIA Zumba Kukwe wa Maili Moja wilayani Kibaha Mkoani Pwani ambaye leo anapambana na bondia Sweet Kalulu amesema kuwa lengo lake kubwa ni kupambana na Thomas Mashali au Kalama Nyilawila.
Akizungumza na waandishi wa habari jana mjini Kibaha wakati wakipima uzito na kupima afya kwenye...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboBONDIA ZUMBA KUKWE KUZIPIGA NA SWEET KALULU KIBAHA
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini mwenye machachali mengi na ngumi nzito awapo ulingoni Zumba Kukwe “chenji dola” anatarajia kupanda ulingoni alhamis ya tarehe 27/11/2014 kuzipiga na bondia mkongwe Sweet kalulu katika ukumbi wa kontena uliopo kibaha maili moja, Watacheza pambano la raundi nane, lisilo la ubingwa ila mshindi kati ya sweet kalulu na zumba kukwe atacheza na mshindi kati ya Thomas Mashali na dula mbabe katika pambano la ubingwa, mashali na dula wao...
11 years ago
Michuzi21 Feb
KALAMA NYILAWILA ASAINI MKATABA WA KUCHEZA NA BINGWA KATI YA MASHALI AU KASEBA MEI MOSI
Promota wa ngumi nchini Ali Mwazoa akipeana mkono na Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ustaadhi baada ya kumsainisha bondia Kalama Nyilawila katikati anaetarajia kuzipiga Mei Mosi.
Bondia Kalama Nyilawila ameingia...
11 years ago
GPLBONDIA THOMAS MASHALI APATA AJARI
10 years ago
Michuzi14 Nov
BONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUARI MOSSI,JIJINI DAR
10 years ago
Vijimambo14 Nov
BONDIA THOMAS MASHALI ASAINI KUZIPIGA NA ABDALLAH PAZI JANUAR MOSI 2015 FRENDS CORNER
11 years ago
Tanzania Daima14 May
Nyilawila sasa kuzichapa na Mbelwa
BONDIA Saidi Mbelwa anatarajia kupanda ulingoni kuvaana na Karama Nyilawila katika pambano la kilo 76 kuwania ubingwa wa kimataifa unaotambuliwa na UBO. Pambano hilo limepangwa kupigwa Ukumbi wa Friends Conner...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MADA MAUGO NA KALAMA NYILAWILA WASAIDI KUZIPIGA MARCH 8 P.T.A SABASABA
11 years ago
GPLKALAMA NYILAWILA KUMVAA IBRAHIMU MAOKOLA DESEMBA 31 MSASANI KLABU
9 years ago
Habarileo01 Oct
Mashali, Cheka kuzichapa Krismasi
MABONDIA Thomas Mashali na Francis Cheka watapanda ulingoni Desemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro katika pambano lisilo la ubingwa. Pambano hili lisilokuwa na ubingwa litakuwa la raundi 12.