Kenya yawateua mabondia wa ndondi za Afrika
Chama cha ndondi cha Kenya kimechagua mabondia 10 wanaume na watatu wa kike watakaoshiriki michezo ya mataifa ya Afrika nchini Congo Brazaville mwezi Septemba mwaka huu.
BBCSwahili
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania