Sudy: Ndondi zimetengwa Tanga
Mwaka 1999 majina ya mabondia Abdallah Nyuki, Mambeya Bakari, Bonzo Mohamed, Karume Kenze, Mnyamisi Tamimu, Marehemu Magoma Shaaban yalikuwa yanatikisa nchini na Afrika Mashariki.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo17 Mar
Zitto: Bilioni 8.5/- zimetengwa kuwamaliza wajumbe wa PAC.

Takribani miezi mitatu na ushei tangu sakata la uchotwaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa serikali wakiondoka madarakani na katibu mkuu mmoja akichunguzwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...
9 years ago
Michuzi21 Dec
‘BILIONI 137 ZIMETENGWA KWA AJILI YA ELIMU YA BURE’

* Awaonya Wakurugenzi, Maafisa elimu.
SERIKALI imekwishatenga kiasi cha sh. bilioni 137 kwa ajili ya kugharamia utoaji wa elimu ya bure kuanzia Januari hadi Juni, mwakani.
Kauli hiyo imetolewa jana jioni (Jumapili, Desemba 20, 2015) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa uwanja wa mikutano wa Likangala wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.
“Kazi ya utumbuaji majipu imezaa matunda kwani...
9 years ago
Michuzi
BILIONI 137 ZIMETENGWA KWA AJILI YA ELIMU YA BURE - WAZIRI MKUU

Kauli hiyo imetolewa jana jioni (Jumapili, Desemba 20, 2015) na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati akizungumza na mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa uwanja wa mikutano wa Likangala wilayani Ruangwa, mkoani Lindi.
“Kazi ya utumbuaji majipu imezaa matunda kwani tumeweza kupata fedha za kugahrimia elimu ya...
10 years ago
BBCSwahili19 Jul
Wateuliwa kushikiri ndondi C Brazaville
11 years ago
Tanzania Daima09 Apr
Super D na harakati za kuinua ndondi
KIU ya kutaka mchezo wa masumbwi upige hatua kubwa mbele na hatimaye kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji, ndicho kinachomsukuma bondia wa zamani na kocha wa mchezo huo, Rajabu Mhamila...
10 years ago
GPL
E-FM YAPANIA KUKUZA MCHEZO WA NDONDI NCHINI
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
BFT: Ndondi Taifa baada ya Madola
SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limesema mashindano ya taifa yatafanyika baada ya kwisha kwa mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayoanza kesho hadi Agosti 3, mjini Glasgow, Scotland. Kwa...
10 years ago
BBCSwahili05 Jul
Kenya yawateua mabondia wa ndondi za Afrika
11 years ago
Dewji Blog21 Jul