BFT: Ndondi Taifa baada ya Madola
SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limesema mashindano ya taifa yatafanyika baada ya kwisha kwa mashindano ya Jumuiya ya Madola yatakayoanza kesho hadi Agosti 3, mjini Glasgow, Scotland. Kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-a5dqNNOXk20/U9IZq9D9aeI/AAAAAAAF59g/oemB8J9n2BE/s72-c/20140723-232442-84282351.jpg)
RATIBA YA MABONDIA WA TANZANIA WANAOWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA SCOTLAND (NDONDI)
![](http://3.bp.blogspot.com/-a5dqNNOXk20/U9IZq9D9aeI/AAAAAAAF59g/oemB8J9n2BE/s1600/20140723-232442-84282351.jpg)
Ratiba hiyo inaonyesha kuwa mashindanoo yataanza tarehe 25/07/14 na yatamalizika tarehe 02/08/14.katika ukumbi wa Secc (Hall 4A) na inaonyesha kuwa captain wa timu ya Tanzania Selemani kidunda ndiye atayeanza...
11 years ago
Michuzi24 Jul
11 years ago
Dewji Blog15 Jul
Rais Kikwete akabidhi bendera timu ya taifa ya riadha itayoshiriki michuano ya jumuiya ya madola huko Glasgow, Scotland
Rais Jakaya Mrisho Kikwete...
11 years ago
Tanzania Daima19 Jun
BFT yakamilisha leseni za mabondia
SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT), limekabidhi leseni za mabondia watakaoshiriki mashindano ya Jumuiya ya Madola nchini Scotland, kwa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC). Akizungumza jijini Dar es Salaam...
11 years ago
TheCitizen30 Jan
BFT leaders face ‘another election’
The Boxing Federation of Tanzania (BFT) leadership is likely to be dissolved after it emerged that there were irregularities in the voting process.
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Uongozi wa sasa BFT batili
Uongozi wa sasa wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa nchini (BFT) ni batili kutokana na kuhirikishwa kwa wajumbe wasiokuwa na sifa ya kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa mwaka jana na wa mwaka huu katika nafasi ya urais.
11 years ago
Mwananchi09 Jan
Wadau wa ngumi waisusia BFT
Wakati Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Tanzania (BFT) likiongeza siku za uchukuaji fomu kwa wagombea wa nafasi ya rais kwenye uchaguzi mdogo, wadau wa ngumi wameonekana kususia kugombea nafasi hiyo kwa kutojitokeza kugombea.
11 years ago
Mwananchi12 Feb
BFT yagonga mwamba kwa Daba
>Uongozi wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa (BFT) umegonga mwamba adhima yake ya kuuondoa madarakani uongozi wa Chama cha Ngumi Mkoa wa Dar es Salaam (Daba).
11 years ago
TheCitizen10 Jun
BFT drops games trainers a day before the deadline
The Boxing Federation of Tanzania (BFT) has dropped two trainers ahead of the Commonwealth Games scheduled to take place in Glasgow, Scotland from next month.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania