MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
Mabondia Mwinyi Mzengela kushoto na Shomari Milundi wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao jumamosi ya kesho feb 28 utakaofanyika uwanja wa ndani wa taifa
Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika Feb 28 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa
Bondia Epson John wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
10 years ago
Vijimambo27 Sep
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 LEO
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
9 years ago
MichuziMABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI
9 years ago
VijimamboMABONDIA YONAS SEGU NA IDI PIALALI WAPIMA KUZITO KUZIPIGA LEO JUMAPILI
11 years ago
Michuzi30 Jul
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK MANZESE
10 years ago
Vijimambo08 Jan
MABONDIA IDDI BONGE NA ALIPHONCE MCHUMIATUMBO KUZIPIGA FEB 14
![](https://2.bp.blogspot.com/-nkIvrnejUgY/VK5KBOXznLI/AAAAAAAAG1s/oz9s9AMZjX0/s1600/6.jpg)
MABONDIA wenye uzito wa juu nchini Aliphonce Mchumiatumbo na Iddi Kipandu 'Iddi Bonge' watapambana Feb 14 katika ukumbi wa P.T.A sabasaba wakigombania ubingwa wa taifa pamoja na pikipiki akizungumzia mpambano huo promota Shabani Manyoka amesema kupitia kampuni ya Mahamba Incorporation Limited wameamua kuandaa mpambano huo wa uzito wa juu ambao ni admu sana nchini kufanyika na ndio mabondia wanaokubalika Duniani kote
mpambano huo wa raundi kumi utakuwa ni wa aina yake kwa kuwa...