MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 LEO
Bondia Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao leo jumamosi september 27 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Mratibu wa mpambano wa ngumi Ibrahimu Kamwe katikati akiwangalia mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Fatuma Yazidu wanavyo tunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano waoLulu Kayage na Fatuma Yazidu wakitambiana baada ya kupima uzitoBondia Nassibu Ramadhani akipima uzito kwa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi30 Jul
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK MANZESE
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
10 years ago
Vijimambo27 Feb
MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI
9 years ago
VijimamboMABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA
MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Ally Mulo watapima uzito siku ya ijumaa kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi utakaofanyika katika viwanja vya basketball vilivyopo katika shule ya uhuru wasichana Kariakoo Dar es salaam
akizungumzia mpambano uho mratibu ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost 22
mbali na mabondia...
11 years ago
Michuzi12 Apr
MABONDIA MIYEYUSHO, CHEKA, KING CLASS MAWE WAPIMA UZITO KUPAMBANA JUMAMOSI APRIL 12 PTA SABASABA
11 years ago
GPLMABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO PTA SABASABA, DAR ES SALAAM
11 years ago
Michuzi19 Apr
MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WA LEO UKUMBI WA PTA SABASABA, DAR ES SALAAM