Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI

Bondia Raymond Mbwago kutoka katika Super d Boxing Clab ya Uhuru Kariakoo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala kulia niu msimamizi kutoka katika kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari Bondia Salim Mponda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho utakaofanyika katikas ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni kulia ni Alli Bakari Champion ambaye ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi TPBC Bondia Ramadhani Maonya kutoka Super...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI

Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23 katika ukumbi wa Panandipanandi Ilala bungoni Dar es salaam Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 LEO

Bondia Nasibu Ramadhani Kushoto akitunishiana misuli na Mohamed Matumla baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao leo jumamosi september 27 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam Mratibu wa mpambano wa ngumi Ibrahimu Kamwe katikati akiwangalia mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Fatuma Yazidu wanavyo tunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano waoLulu Kayage na Fatuma Yazidu wakitambiana baada ya kupima uzitoBondia Nassibu Ramadhani akipima uzito kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK MANZESE

Bondia Peter Mbowe akioneshana umwamba wa kutunishiana misuli na Ibrahimu Tamba baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao yutakaofanyika katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM siku ya Iddi pili Bondia Karim Ramadhani akipima uzitoBondia Karim Ramadhani kushoto akitunishiana misuli na bondia Stevin Kobelo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya iddi pili katika ukumbi wa Manyara Park manzese CCM wa pili kushoto ni bondia Nassibu Ramadhani na Kocha Jafari...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA WAPIMA UZITO KUZIPIGA FEB 28 UWANJA WA NDANI WA TAIFA JUMAMOSI

Mabondia Mwinyi Mzengela kushoto na Shomari Milundi wakitunishiana misuri baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao jumamosi ya kesho feb 28 utakaofanyika uwanja wa ndani wa taifa Bondia Fadhili Majiha akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Francis Miyeyusho utakaofanyika Feb 28 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa Bondia Epson John wa Morogoro kushoto akitunishiana misuli na Vicent Mbilinyi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho utakaofanyika katika ukumbi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA

Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam siku ya jumamosi Bondia Vicent MbilinyiBondia Vicent Mbilinyi kushoto akitunishiana masuli na Halidi Manjee baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika feb 14 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba Dar es salaam Bondia Iddi Bonge kushoto akitunishiana misuli na Alphonce mchumiatumbo baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani