SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI
Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23 katika ukumbi wa Panandipanandi Ilala bungoni Dar es salaam
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboMABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI
11 years ago
Vijimambo27 Sep
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 LEO
9 years ago
MichuziMABONDIA HAMISI MWAKINYO NA MESHACK MWANKEMWA KUPIGANA KESHO JUMAMOSI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
VijimamboMABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA
akizungumzia mpambano uho mratibu ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost 22
mbali na mabondia...
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
11 years ago
Michuzi30 Jul
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK MANZESE
10 years ago
VijimamboMABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI WA TANGA KUPIGANA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA
11 years ago
Vijimambo01 Nov
MABONDIA WAZIPIGA MAZOEZINI WAKISIMAMIWA NA KOCHA SUPER D