MABONDIA HAMISI MWAKINYO NA MESHACK MWANKEMWA KUPIGANA KESHO JUMAMOSI
Bondia Hamisi Mwakinyo kushoto akitunishiana misuli na Meshach Mwankemwa baada ya kupima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania TPBC katikati ni promomota kutoka katika kampuni ya Golden boy Afrika Shomari Kimbau Picha na SUPER D BOXING NESW.
Promota Shomari Kimbau akiwainua mikono juu mabondia Asha Nzowa kushoto na Joyce Awino baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao kesho.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA. Rais wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo27 Sep
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI SEPTEMBE 27 LEO
9 years ago
VijimamboMABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA
akizungumzia mpambano uho mratibu ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost 22
mbali na mabondia...
9 years ago
MichuziBONDIA MESHACK MWANKEMWA BINGWA MPYA WA KG 66 TPBC
10 years ago
VijimamboMABONDIA VICENT MBILINYI NA SAID MUNDI WA TANGA KUPIGANA KESHO UWANJA WA NDANI WA TAIFA
10 years ago
Vijimambo13 Feb
MABONDIA MCHUMIATUMBO NA IDI BONGE WAPIMA UZITO KUPIGANA FEB 14 P.T.A SABASABA
11 years ago
Michuzi30 Jul
MABONDIA WAPIMA UZITO KUPIGANA IDDI PILI MANYARA PARK MANZESE
10 years ago
VijimamboSUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI
10 years ago
VijimamboNGUMI KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MANYARA PARCK CCM TANDALE JUMAMOSI MARCH 28
Na Mwandishi Wetu
Mabondia Julius Kisalawe kutoka Ndame Clab...