BONDIA MESHACK MWANKEMWA BINGWA MPYA WA KG 66 TPBC
Refarii wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Kondo Nassoro kulia akimnyoosha mkono juu bondia Meshack Mwankemwa baada ya kumnyuka bondia Hamisi mwakinyo katikati ni Promota wa ngumi za kulipwa Jay Msangi akimvalisha mkanda bingwa huyo mpya wa Kg 66 anaetamuliwa na kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC kulia ni Shomari Kimbau Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Meshack Mwankemwa kushoto akiwa na bondia Hamisi Mwakinyo na viongozi na kulia ni Shomari Kimbau wa pili kulia ni rais...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMABONDIA HAMISI MWAKINYO NA MESHACK MWANKEMWA KUPIGANA KESHO JUMAMOSI
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
10 years ago
Vijimambo28 Sep
Bondia wa Kike mwafrika Bintou Schmill Bingwa mpya wa ngumi Ulaya
Frankfurt,Germany,Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la ubingwa wa ngumi za kulipwa unatambuliwa na IBF,Bondia Bintou alimpiga na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic kwa K.O katika raundi ya 3,. Pambano hilo lilionyeshwa Live katika TV channel ya euro sport na ktazamwa na maelfu ya watu wakishuhudia bondia wa kike mwafrika akirusha ngumi kali kuliko radu.Bintou Schmill (30)...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oJTYyyN45HY/VRXnA1HdS7I/AAAAAAAHNs4/JEAtxzCgJ4A/s72-c/DSCF6974.jpg)
BONDIA MOHAMED MATUMLA AMTANDIKA KWA POINT BONDIA WANG XIN HUA KUTOKA CHINA
![](http://3.bp.blogspot.com/-oJTYyyN45HY/VRXnA1HdS7I/AAAAAAAHNs4/JEAtxzCgJ4A/s1600/DSCF6974.jpg)
9 years ago
Habarileo06 Dec
Uganda bingwa mpya Chalenji
TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ jana ilitwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda ‘Amavubi’ bao 1-0.
11 years ago
BBCSwahili26 Jan
Stan bingwa mpya wa Australia Open
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-LSaKc9nqwAA/XkvqYj07dUI/AAAAAAALd78/UYTBy4qyk6span5jXkzREJ2LbQkH56s4wCLcBGAsYHQ/s72-c/81107546_1040861996297120_446094420118901832_n.jpg)
PESA ZA BSS BADO, SILI BATA - MESHACK
![](https://1.bp.blogspot.com/-LSaKc9nqwAA/XkvqYj07dUI/AAAAAAALd78/UYTBy4qyk6span5jXkzREJ2LbQkH56s4wCLcBGAsYHQ/s640/81107546_1040861996297120_446094420118901832_n.jpg)
Na Khadija Seif, Michuzi Tv
MSHINDI wa BSS mwaka 2019, Meshack Fukuta amesema kuwa akipata hela zake za ushindi ambazo ni shilingi Milioni 20 atazitumia kwa ajili ya muziki wake na sio kula bata kama watu ambavyo wamezoea.
Akizungumza na Michuzi Tv amesema kuwa hela ambazo anazitegemea kuzipata hivi karibu sio ndogo wala sio nyingi ila asipo tuliza akili anaweza kuja kujikuta amezitumia bila ya kutimiza malengo yake.
“Sijapata hela bado na ni lazima nijipange ili nisije kuchanganyikiwa...
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Utata wajitokeza kifo cha Meshack Yebei
11 years ago
IPPmedia05 Aug
TPBC approves new amendments
IPPmedia
IPPmedia
The Tanzania Professional Boxing Commission (TPBC) members approved almost all constitutional amendments which were tabled at the meeting held in Dar es Salaam last Sunday and presided over by the interim President, Chaurembo Palasa. TPBC had ...