Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda bingwa mpya Chalenji

TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ jana ilitwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda ‘Amavubi’ bao 1-0.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

KENYA BINGWA KOMBE LA CHALENJI 2013

Kikosi cha Harambee Stars kilichotwaa kombe la Chalenji 2013. Timu ya taifa ya Kenya ‘Harambee Stars’ imetwaa kombe la michuano ya Chalenji 2013 iliyomalizika nchini Kenya baada ya kuifunga Sudan bao 2-0 katika fainali iliyomalizika hivi punde katika Uwanja wa Nyayo nchini humo. Mabao ya Harambee Stars yamewekwa kimiani na Allan Wanga katika dakika ya 35 na 69. ...

 

9 years ago

Mwananchi

Uganda kidume Chalenji 2015

Timu ya Uganda imethibitisha ubora wake unaoifanya iwe kinara wa soka kwa nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kulingana na viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) inakoshika nafasi ya 68 duniani baada ya kutwaa Kombe la Chalenji mwaka 2015.

 

11 years ago

GPL

STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

TIMU ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya kuwatoa Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Uganda kwa ushindi wa changamoto ya penalti 3-2 katika michuano ya kombe la Chalenji inayoendelea jijini Nairobi, nchini Kenya lakini shujaa akiwa kipa Ivo Mapunda . Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Manispaa ya mji wa Mombasa nchini Kenya, Uganda ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza...

 

9 years ago

Dewji Blog

Kili Stars yaanza vizuri Cecafa Senior Challenge, yaikamua Somalia, bingwa mtetezi Kenya nae aipa kipigo Uganda!

kilistars

Kikosi cha Kilimanjaro Stars..

Na Rabi Hume, Modewji blog

Timu inayowakilisha Tanzania bara katika mashindano ya Cecafa Senior Challenge, Kilimanjaro Stars jana imeanza vyema mashindano hayo kwa kuifunga timu ya taifa ya Somalia kipigo cha goli 4 kwa bila.

Katika mchezo huo ambao Kili Stars ilionekana kutawala kwa kipindi kirefu ilifanikiwa kupata goli la kwanza dakika ya 11 kupitia kwa nahodha wa timu hiyo, John Bocco kwa njia ya mkwaju wa penati.

Goli la pili lilifungwa na Elias...

 

11 years ago

BBCSwahili

Stan bingwa mpya wa Australia Open

Stanislas Wawrinka raia wa Uswis amefanikiwa kutwaa taji la michuano ya wazi ya Australia kwa kumchapa Mhispania Rafael Nadal.

 

9 years ago

Michuzi

BONDIA MESHACK MWANKEMWA BINGWA MPYA WA KG 66 TPBC


Refarii wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Kondo Nassoro kulia akimnyoosha mkono juu bondia Meshack Mwankemwa baada ya kumnyuka bondia Hamisi mwakinyo katikati ni Promota wa ngumi za kulipwa Jay Msangi akimvalisha mkanda bingwa huyo mpya wa Kg 66 anaetamuliwa na kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC kulia ni Shomari Kimbau Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Meshack Mwankemwa kushoto akiwa na bondia Hamisi Mwakinyo na viongozi na kulia ni Shomari Kimbau wa pili kulia ni rais...

 

10 years ago

Vijimambo

Bondia wa Kike mwafrika Bintou Schmill Bingwa mpya wa ngumi Ulaya


Frankfurt,Germany,Bondia maarufu wa kike mwafrika barani ulaya Bintou Yawa Schmill,mkazi wa Ujerumani siku ya ijumaa 26.September 2014 alifanikiwa kuchukua taji la ubingwa wa ngumi za kulipwa unatambuliwa na IBF,Bondia Bintou alimpiga na kumshinda mpinzani wake bondia Mirjana Vujic   kwa K.O katika raundi ya 3,. Pambano hilo lilionyeshwa Live katika TV channel ya euro sport na ktazamwa na maelfu ya watu wakishuhudia bondia wa kike mwafrika akirusha ngumi kali kuliko radu.Bintou Schmill (30)...

 

9 years ago

Michuzi

IDARA YA UHAMIAJI YAWA BINGWA MICHUANO YA MPIRA WA PETE KLABU BINGWA TANZANIA

Na Chalila Kibuda,Globu ya JamiiTIMU ya Mpira wa Pete ya Idara ya Uhamiaji,imeibuka mshindi katika michuano ya mashindano ya Klabu bingwa wa mpira wa pete baada ya kuipiga timu ya Mbweni JKT iliyokuwa ikishikilia ubingwa huo. Akizungumza baada ya kupokea kombe hilo ,Kamishina wa Utawala na Fedha wa Idra ya Uhamiaji,Piniel Mgonja  amewataka wachezaji wa timu hiyo kujituma na kuweza kulinda kombe hilo ililisichukuliwe katika michuano mingine. Mgonja amesema katika mwaka huu wamekuwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda na kamusi mpya

kamusi yenye kuendana na msamiati mpyawenye mchanganyiko wa maneno ya Kiingereza na lugha mama za Uganda imezinduliwa nchini humo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani