Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uganda kidume Chalenji 2015

Timu ya Uganda imethibitisha ubora wake unaoifanya iwe kinara wa soka kwa nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kulingana na viwango vya Shirikisho la Soka la Kimataifa (Fifa) inakoshika nafasi ya 68 duniani baada ya kutwaa Kombe la Chalenji mwaka 2015.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

ALIYEZAA NA NAY ANASWA NA KIDUME UGANDA

Gladness Mallya
KABAANG! Zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson amezua gumzo la aina yake baada ya kunaswa na ‘kidume’ kingine nchini Uganda. Zilipendwa wa staa wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’, Siwema Edson. Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichowafuatilia wawili hao hatua kwa hatua, mpango mzima ulianzia jijini Mwanza...

 

9 years ago

Habarileo

Uganda bingwa mpya Chalenji

TIMU ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’ jana ilitwaa ubingwa wa Kombe la Chalenji baada ya kuifunga Rwanda ‘Amavubi’ bao 1-0.

 

11 years ago

GPL

STARS YAIVUA UBINGWA UGANDA, YATINGA NUSU FAINALI CHALENJI

TIMU ya Kilimanjaro Stars imefanikiwa kusonga mbele hatua ya Nusu Fainali baada ya kuwatoa Mabingwa watetezi wa Kombe hilo Uganda kwa ushindi wa changamoto ya penalti 3-2 katika michuano ya kombe la Chalenji inayoendelea jijini Nairobi, nchini Kenya lakini shujaa akiwa kipa Ivo Mapunda . Katika mchezo huo uliopigwa katika Uwanja wa Manispaa ya mji wa Mombasa nchini Kenya, Uganda ndio waliokuwa wa kwanza kupata bao la kuongoza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kombe la Chalenji limepita, tujipange kwa AFCON 2015

MICHUANO ya Kombe la Chalenji kwa nchi wanachama wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (Cecafa), imefikia tamati jana mjini Nairobi, Kenya. Tanzania, kwa sura ya Jamhuri...

 

11 years ago

GPL

ODAMA AJIFUNGUA KIDUME

Stori: Imelda Mtema
HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...

 

10 years ago

GPL

KIDUME WA MA - MC WA KIKE ANASWA

Stori:Richard Bukos
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Yona Nathal, mkazi wa Ubungo ya River Side jijini Dar es Salaam, Jumanne iliyopita alijikuta katika timbwili zito na kundi la washereheshaji maarufu wa kike Dar ‘ma -MC’ baada ya kubainika kuwachanganya kimapenzi. Yona Nathal akiwa chini ya ulinzi wa polisi. AWEKEWA MTEGO
Ilidaiwa kuwa Yona ameshawatokea baadhi ya ma-MC  hao kwa nyakati tofauti na...

 

11 years ago

GPL

SAFINA APONGEZWA KUZAA KIDUME

Na Hamida Hassan
MCHEKESHAJI maarufu Bongo wa Kipindi cha Mizengwe kinachorushwa kupitia Runinga ya ITV, Jessica Kindole ‘Safina’ amepongezwa kwa kujifungua salama mtoto wa kiume. Mchekeshaji maarufu Bongo wa Kipindi cha Mizengwe, Jessica Kindole ‘Safina’ Akizungumza na paparazi wetu, Safina aliyejifungua katika Hospitali ya Lugalo jijini Dar hivi karibuni, alisema amepokea pongezi nyingi kutoka kwa...

 

10 years ago

GPL

MARY MAWIGI AJIFUNGUA KIDUME KWA KISU

Msanii wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi.
Gladness Mallya
Msanii wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi hivi karibuni amejifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mico iliyopo Sinza jijini. Akizungumza na Ijumaa, Mary alisema kuwa ana furaha sana ya kupata mtoto kwani ni kitendo alichokisubiri kwa muda mrefu na Mungu amemjaalia. “Nina furaha sana kwa maana mtoto ni baraka ambayo nilikuwa nikiisubiri...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani