Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MARY MAWIGI AJIFUNGUA KIDUME KWA KISU

Msanii wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi.
Gladness Mallya
Msanii wa filamu za Kibongo, Mary Mawigi hivi karibuni amejifungua mtoto wa kiume kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Mico iliyopo Sinza jijini. Akizungumza na Ijumaa, Mary alisema kuwa ana furaha sana ya kupata mtoto kwani ni kitendo alichokisubiri kwa muda mrefu na Mungu amemjaalia. “Nina furaha sana kwa maana mtoto ni baraka ambayo nilikuwa nikiisubiri...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ODAMA AJIFUNGUA KIDUME

Stori: Imelda Mtema
HABARI njema! Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’ amejifungua kidume huku akikataa kumtaja baba wa mtoto huyo. Staa wa sinema za Kibongo, Jenifer Kyaka ‘Odama’. anayedaiwa kwamba ni mheshimiwa serikalini.
Kwa mujibu wa vyanzo vyetu makini, Odama alijifungua kwa operesheni hivi karibuni kwenye Hospitali ya Kairuki jijini Dar baada ya kuwa kimya kwa miezi kadhaa...

 

10 years ago

GPL

LULU MAWIGI YANATUZEESHA JAMANI

Stori: Imelda Mtema
STAA wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa, mawigi wanayovaa mastaa mbalimbali akiwemo yeye, yanawazeesha sura na kuonekana  wakubwa kupita kiasi kumbe sivyo ilivyo. Staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’. Lulu alisema, mara nyingi mastaa wanapenda kujaza mawigi makubwa kichwani mwao lakini kiukweli wakiondoa mawingi hayo na kusuka hata...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA AJIFUNGUA MAPACHA WANNE KWA MKUPUO MKOANI KIGOMA, AOMBA MSAADA KWA WATANZANIA

Na Editha Karlo, Globu ya Jamii - Kigoma
MKAZI wa Kijiji cha Buzebazeba katika Manispaa ya Kigoma Ujiji, Zuwena Abdu (29) jana amejifungua watoto mapacha wanne kwa mkupuo katika Hospital ya Mkoa  wa Kigoma (Maweni).
Zuwena alisema kuwa watoto aliojifungua wenye jinsia ya kiume ni  watatu na  mmoja ambaye ni wa mwisho ana jinsia ya kike ,wa kwanza akiwa na uzito wa kilo 1.8,pili 2.5 wa tatu 1.7 na wanne 1.7.
Alisema watoto hao alijifungua jana majira ya saa kumi na mbili jioni salama  kwa njia...

 

10 years ago

Habarileo

Dereva wa bodaboda auawa kwa kisu

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahri Kidavashari MWENDESHA pikipiki maarufu bodaboda, Zacharia Lungwa (24) mkazi wa Kitongoji cha Kawajense mjini Mpanda katika mkoa wa Katavi ameuawa kwa kuchomwa na kisu na abiria wake aliyekuwa amembeba.

 

11 years ago

Habarileo

Mume aua mke kwa kisu

WATU watano wamekufa mkoani Rukwa katika matukio tofauti, akiwemo Silvia Patrick aliyeuawa na mumewe kwa kuchomwa kisu kifuani kutokana na wivu wa mapenzi. Joseph Dominick (33) baada ya kumuua mkewe huyo mwenye miaka 26, alijaribu kujiua kwa kujichoma kisu tumboni, lakini hakufa na amelazwa katika Kituo cha Afya cha Kamasamba wilayani Momba mkoani Mbeya akiwa chini ya ulinzi.

 

11 years ago

Habarileo

Mkuu wa Upelelezi auawa kwa kisu

MKUU wa Upelelezi, Kituo cha Polisi Isebania Wilaya ya Kurya West, Kenya kilicho mpakani na Tanzania, John Kaduri ameuawa kwa kuchomwa kisu shingoni na mtuhumiwa wa vitendo vya uhalifu.

 

11 years ago

GPL

WIVU ULIVYOMUUA DENTI KWA KISU

Na Joseph Ngilisho, ARUSHA
SIRI nzito ya mauaji ya kinyama ya mwanafunzi wa Chuo cha Savanna Bridge cha jijini Arusha, Winfrida Akunay (18) aliyechomwa kisu mara sita eneo la shingo na kifua mbele ya baba yake mzazi imegundulika, Amani linakupatia. Winfrida Akunay (18) enzi za uhai wake. Kwa mujibu wa chanzo cha ndani, mtuhumiwa wa mauaji hayo, Robert Isaac (22) alitimiza ukatili huo nyumbani kwa baba wa marehemu Majengo Juu...

 

11 years ago

Mwananchi

Auawa kwa kuchomwa kisu na mumewe

>Watu wanne wamefariki dunia katika matukio tofauti mkoani hapa, akiwamo mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Isangati Mbeya Vijijini aliyechomwa kisu na mume wake wakati akiwa amelala.

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: JOHARI AJIFUNGUA KWA SIRI

Brighton Masalu
Mshtuko! Baada ya kujulikana kwa wengi kuwa hana mtoto na madai ya kutokuwa na uwezo wa kuzaa, mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina William Chagula ‘Johari’ ameshangaza baada ya siri kuvuja kuwa amejifungua kwa siri ambapo mtoto ana umri wa miezi 7 sasa, jambo lililozua mkanganyiko na mjadala mzito, Risasi Jumamosi linakupa ‘exclusive story’. Mwigizaji wa kitambo Bongo, Blandina...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani